Tumeipokea mpendwa mteja, utafungiwa umeme kama ambavyo tulikuahidiNimelipia umeme kwa njia ya bank (320,960.00)ajili ya kuunganishiwa kwenye nyumba yangu (service line cost) tangu tarehe 04/10/17. Nikaambiwa nisubiri ndani ya siku 30 nitakuwa nimeunganishwa. Cha ajabu ni kwamba kuna majirani ambao nililipa nao bank siku moja wao wamewekewa umeme tayari mimi mpaka Leo hii kimya! Kuna tofauti gani kati yangu mm na wao wakati tumelipa siku moja na tunaishi mtaa mmoja na nguzo ipo umbali wa mita 9 tu. Naombeni majibu TANESCO
Nipo kigamboni mtaa wa magogoni makaburini.
Jina :ALLY SHABANI SHOMARI SHOMARI
Namba ya simu: 0717 305 301
Tunaomba namba yako ya simu na unachoulizia haswaHabari Tanesco sisi ni watanzania wazalendo ambao tunalipenda shirika letu na tunalitakia mema sana sasa kuna mradi umefanyika kijiji cha michenga wilaya ya Ruangwa mradi huu una nguzo 13 na t/f 1 malipo yaliyofanyika ni kwa mradi tu wa nguzo 11 gharama za mita pamoja na nguzo 2 hazijalipiwa na mita imeshafungwa site tayari hii ni kwa mujibu wa walionipa hii taarifa namba ya mradi ni t062630
malalamiko yetu ni kuwa kuna mazingira ya rushwa ktk mradi husika maana malipo hayajakamilika lakini mradi umekamilika na mteja anatumia umeme pasipo malipo kukamilikaTunaomba namba yako ya simu na unachoulizia haswa
Nashukuru tatizo langu linaelekea pazuri maana baada ya kuonana na uongozi wa mkoa tumekubaliana vizuri nawashukuru sanaTumekupatia ushauri mkuu tunashukuru kwa taarifa kamili
Umeme ulrejea saa mbili na dakika arobaini usiku kama bado hauna umeme tunaomba namba yakonya simi na eneo lakoUmeme umekatika saa 12 jioni maeneo ya kijichi hadi sasa hakuna taarifa zozote mnaa maana gani kukaa kimya? Hebu kuweni na mfumo wa kuwajulisha wateja wenu hata kwa sms kuwa umeme umekatika kwa sababu gani na utarudi saa ngapi ili wateja wenu tujue.
MkoaTatizo langu ni king'amuzi cha kuingizia umeme, nimeripoti lakini walikuja wakachukua no ya king'amuzi sijapata jibu, niendelee kushindia giza? Nimuone nani atatae tatizo? Ingekua nafanya biashara ni hasara kwa TRA kwani hawapati haki yao.
Tunaomba taarifa zote tulizokuomba hapo juu mkuuMkoa ,Wilaya ya Bagamoyo, Kata ya Kerege, kutuo -Kerege CCM . Nilisharipoti mara mbili Tanesco - Bagamoyo, no ya mita 24211016928 .Tatizo umeme hauingii ninaambiwa error 00 nikitafuta salio error 01 hilo ndilo tatizo nawaomba msaada