kama kaswala haka kadogo ka umeme kanawasumbua kias hiki.......hivo viwanda mtaendeshea mbolea au?

Tunaomba namba yako ya simu mpendwa mteja ili tuwasiliane
Asante kwa kunijibu.

Nitawatafuta viongozi wa Kijiji cha Mkokozi au Lugwadu ili wawape namba zao.

Mimi ni mwananchi wa kawaida tu na ni mwenyeji wa vijiji hivyo ambavyo kwanza kilikuwa kijiji kimoja cha Mkokozi.

Vijiji hivi ambavyo kwa sasa ni Miji midogo, vina wakazi wengi na wenye uwezo wa kulipa bili za umeme na baadhi yao wanatumia Sola kujipatia mwanga.

Vijiji hivi vipo karibu kabisa na Kitongoji cha Mwembemtengu cha Wilaya ya Kigamboni ambacho kipo kando kando na barabara ya kutokea Kigamboni kuelekea Kongowe. Lakini havina Umeme kabisa kwa miaka yote hii, na hadi leo hii hamna umeme.

Asanteni kwa ushirikiano mzuri na wananchi.

Nilianzisha uzi hapa miaka ya nyuma sana...kabla ya ninyi kuwepo hapa.
Nikasema ninyi Tanesco Mnamkataba gani na waganga wa Kienyeji?......Nguzo zenu zote zimekuwa ndio sehemu ya Mabango ya Waganga na wachawi....yaani Nchi nzima huo uchafu umetapakaaa.

Na sio kama mnashindwa kuuondoa...la hasha ni basi tu kwasabbu Mabango hayo yote yana namba za simu za hao waganga na ni rahisi kuwapigia nakuwambia watoe uchafu wao ama sii kuutoa ninyi...

Aise nakereka mno
TANESCO TOENI HUO UCHAFU KWENYE NGUZO ZA UMEME
binafsi nilishapata aibu ya kuulizwa na Mgeni wangu kwamba tangu tumeanza kutembea mbona anaona vijibao vimening'inia juu ya nguzo? Sikuwa na Jibu..

Tanesco toeni uchafu huo.

Nafikiri feedback ni nzuri ikiwa toka pande zote mbili. Mmeweka huu uzi kujua malalamiko yetu, maoni, maswali na pia ushauri.

Mbona mmekuwa wazikilizaji zaidi tunaomba ili kukamilisha "give and take" tunaomba na nyie muweke kwa uwazi changamoto zenu na sio kufanya watu tuwe tunahisi kuwa hamna vitendea inawezekana hilo sio changamoto kwenu bali kuna vitu vingine.

Mfano kulikuwa na tamko la kiongozi kule kigamboni kuhusu watu kuwekewa umeme ndani ya mud mfupi lakini kuna baadhi ya maeneo mwendokasi wa kuweka miundombinu umekuwa wa kusua sua sana sasa je tatizo ni nini kwa mfano?

tarehe 07/11/17
muda : 15:10 alasiri
kiasi : 10000
namba : 0687237985
mita : 22124473921

namba token sijapokea

Mimi napenda kujua mradi wa Rea utaanza lini maeneo ya Nyakangwe Buhongwa Mwanza kwa sababu ni mda sasa tunaahidiwa mradi huo

Tunaomba namba yako ya simu ili tuwasiliana na kufika eneo lako mara moja
Mmmhhh namba naogopa kwa kuwa huyu mtu ni hatari sana ila ninachiweza kuwasaidia nitawaelekeza na mtafika hapo.

1.Kiwanda kilipo;mbele ya frem za Maduka ya serikari ya mtaa wa ndumbwi kata ya mbezi juu.

2.kiwanda kipo mkono wa kulia ukiwa unatokea kanisa katoriki mt dominical

3.waya ulipopita ukiwa unazingalia hizo frame kuna frem ya 13 kama sikosei kuna mtu anauza kitimoto karibu na hapo kuna bar ya Felix sasa basi kabla ujafika kwenye hiyo hapo wanapotengeneza kitimoto kuna nguzo ya umeme sasa kutoka hapo ndio wamechimbia waya chini umevuka barabara kwenda kwenye hicho kiwanda.

Cha kuwasaidia zaidi nitawatafutia namba ya mtu aliyehusika kupitisha huo waya ,mmiliki mwenye kiwanda .pia nitakutumia barua ya malakamiko kutoka kwa wamiliki wa maduka .nipeni muda.

Leo nimefurahi sana vigogo wa tanesco wamepandishwa kizimbani kwa wizi. Safi sana, walinitesa sana wakati naomba umeme, wakataka rushwa, sasa ni zamu yao kuishi kama mashetani, ngoja sie tuwashe umeme tuishi kama malaika, ha ha haaaa

Watumie tanesco details inbox, wakupe zawadi

Mimi ni mkaazi wa UBUNGO RIVERSIDE tangu asubuhi hatuna umeme kwa baadhi ya nyumba, tumepiga cm tanesco lakini hawapokei cm zetu kulikoni?

Pole kwa usumbufu ndugu mteja, tunaomba namba ya simu Ilituweze kukufikia.

Tanesco malalamiko Yangu ni juu ya hivi viremote vya kuongezea unit maana umeme uukiisha huwezi kujua had I ukaulize kwa Jirani pia vinapata kutu sana kwenye sehemu ya betri Hata kama ukizitoa betri.na jje kwanini mkaweka vya betiri na so vya kujichaji humuoni kwamba mnatuongezea gharama?

Pole kwa usumbufu ndugu mteja, tunaomba namba ya simu Ilituweze kukufikia.
tarehe 07/11/17
muda : 15:10 alasiri
kiasi : 10000
namba : 0687237985
mita : 22124473921

namba token sijapokea

Ndugu mteja unaweza kutupatia namba yako ili tukupatie maelekezo sahihi ya hizo mita

fanyeni ubinadamu basi .. nasubiri
tarehe 07/11/17
muda : 15:10 alasiri
kiasi : 10000
namba : 0687237985
mita : 22124473921

namba token sijapokea

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…