TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
tunaomba mtuwekee transfoma Mbezi Louis maeneo ya Dubai maana hatupati nafasi ya kuangalia habari kutokana naumeme kukatika kila ikifika saa moja jioni kila siku. Tatizo la Low voltage.
 
Habar wapendwa

Jamani mwenzenu Nina miezi miwili tangu niende tanesco kuomba waniunganushie umeme mpaka Leo wahajaja, Nina jirani yangu tuliomba wote yeye amewapa elfu50 eti wamfanyie survey alafu wamekuja ameshalipia wanamwambia mkono mfupi haulambwi wanataka laki 1 wamuingizie. Mm nimekataa sitoi hata mia kama hawataki kuniwekea umeme basi.

Namsubiri anko magu akija tens Tanga naenda kumwambia tanesco wanatutesa wnapenda hela SNA.

Inamaana hamuoni hali ilivyo ngumu alafu mwataka rushwa kuanzia elfu 50, mkipewa elfu10 hamtaki jaman achen dhambi mbona Tanga uwasa hawapo hivyo yaan kama kuna member humu ndani yupo tanesco tanga anisaidie ila rushwa nooooo. Mungu hapendi
 
Umeomba kwa nina gani namba ya simu mkoa na namba ya fomu ya maombi tafadhali
 
Habar wapendwa

Jamani mwenzenu Nina miezi miwili tangu niende tanesco kuomba waniunganushie umeme mpaka Leo wahajaja, Nina jirani yangu tuliomba wote yeye amewapa elfu50 eti wamfanyie survey alafu wamekuja ameshalipia wanamwambia mkono mfupi haulambwi wanataka laki 1 wamuingizie. Mm nimekataa sitoi hata mia kama hawataki kuniwekea umeme basi.

Namsubiri anko magu akija tens Tanga naenda kumwambia tanesco wanatutesa wnapenda hela SNA.

Inamaana hamuoni hali ilivyo ngumu alafu mwataka rushwa kuanzia elfu 50, mkipewa elfu10 hamtaki jaman achen dhambi mbona Tanga uwasa hawapo hivyo yaan kama kuna member humu ndani yupo tanesco tanga anisaidie ila rushwa nooooo. Mungu hapendi
Pia ulilipa kiasi gani
 
Ndugu mpendwa mteja
Kwa swala lako tafadhali fika ofisi ya Wilaya ya Same kwa maelezo zaidi au tupatie taarifa za jina, eneo, namba ya simu, unachodai kisha tutawasiliana na wewe
 
Huu umeme wa REA hapa Chanika Zingiziwa- Kibaoni hautuhusu? Mmewaambia wananchi wakate mikorosho na minazi yao halafu umeme unapita juu kwa juu unaenda kuwaka Mvuti na Dondwe porini huko
 
Tunaomba namba yako ya simu na eneo haswa unalolitaja
 
Habari wadau nahitaji kufahamu no jinsi gani naweza kujua matumizi ya umeme kwa electronic yeyote kabla sijanunua.... maana kwangu nina umeme wa luku na matumizi yangu hayaendani na kasi ya umeme unavyotumika.... hivyo nataka nianze kukagua vifaa vyangu vyote vya umeme.... huenda vipo nilivyoingia chaka
 
Kagua wiring yako labda kuna leakage, kagua sana sana earthrod labda ni mbovu..
 
Jambo Tanesco. Tunaomba kuletewa umeme hapa tulipo. Kata ya buyuni, wilaya ya ilala, mtaa wa mgeule, kwa mama Nuru, kuna uwanja wa mpira. Ili kwenda eneo hili unateremka kituo cha KWA ZOO na kufuata njia ya kwenda relini. Maeneo yote umeme umefika isipokuwa eneo hili. Hatujui sababu.
 
Tunaomba namba yako ya simu tutakupatia mrejesho wa ninj kinafuata kwenye eneo lako
 
Habari wadau nahitaji kufahamu no jinsi gani naweza kujua matumizi ya umeme kwa electronic yeyote kabla sijanunua.... maana kwangu nina umeme wa luku na matumizi yangu hayaendani na kasi ya umeme unavyotumika.... hivyo nataka nianze kukagua vifaa vyangu vyote vya umeme.... huenda vipo nilivyoingia chaka
Tunakushauri kutumia vifaa vyenye matumizi madoginya umeme.aidha matumizi ya umeme yanaweza kuwa makubwa kutokana na idadi wa watumiaji, vifaa, ubora wa mtandao wa nyaya kwenye nyumba yako au hata tabia za watumiaji
 
Huu umeme wa REA hapa Chanika Zingiziwa- Kibaoni hautuhusu? Mmewaambia wananchi wakate mikorosho na minazi yao halafu umeme unapita juu kwa juu unaenda kuwaka Mvuti na Dondwe porini huko
Tunaomba namba yako ya simu mprndwa mteja mteja tutakupatia ufafanuzi wa eneo lako
 
Sheria inasemaje kwa mteja Mara tu anapomaliza kulipa inatakiwa apate mita yake ndani ya siku ngapi na kuanza kutumia huduma ya Umeme?
 
Umelipia lini, wilaya na mkoa gani kwa jina gani namba ya simu na kiasi ulicholipia mpendwa mteja
 
Back
Top Bottom