TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Wilaya ya misungwi,tarafa ya usagara,kata ya Kanyelele,kijiji cha Mwaholo kwa nini zaidi ya nyumba 20 zinazohitaji umeme hamtski kuwawekea? Mmewekea watu wachache tens kwa ubaguzi.Ni lini mtaweka umeme?
Ndugu mpendwa mteja
Tunaomba taarifa kwa ufasaha jina... eneo.. namba ya simu.... unachoulizia.....
 
Jamani tanesco kwanini huku vwawa mbozi mnakata umeme kila siku Watu tunashindwa kuendesha shughuli zetu bana mnaboa Aisee
 
Jamani tanesco kwanini huku vwawa mbozi mnakata umeme kila siku Watu tunashindwa kuendesha shughuli zetu bana mnaboa Aisee
Eneo gani haswa namba ya simu tafadhali na wikaya yako
 
Naomba kwa heshima na taadhima niwashukuru kwa hili naona leo tayr utekelezaji wa ule mradi wa kumalizia waya kwekitui leo umeanza rasmi nashukuru kuona mnatujali.
 
Naomba kwa heshima na taadhima niwashukuru kwa hili naona leo tayr utekelezaji wa ule mradi wa kumalizia waya kwekitui leo umeanza rasmi nashukuru kuona mnatujali.
Tunashukuru sana mpendwa mteja.
 
Samahani naomba kufahamishwa jinsi ya kuhama kutoka matumizi makubwa ya umeme kurudi matumizi madogo!!!
 
Kwenye umeme ulioingia kwenye nyumba pale juu mvua ikinyesha ni tatizo unazima na kuwaka mpaka ugonge, ukiwaita taneso wakija wanasugua tu wanaondoka na tatizo haliishi.

Je hiyo husababishwa na nini? Maana kuna mda panatoa cheche sana.
 
Kwenye umeme ulioingia kwenye nyumba pale juu mvua ikinyesha ni tatizo unazima na kuwaka mpaka ugonge, ukiwaita taneso wakija wanasugua tu wanaondoka na tatizo haliishi....
Je hiyo husababishwa na nini? Maana kuna mda panatoa cheche sana.
Cheche za upendo ama[emoji23] [emoji23]
 
Samahani naomba kufahamishwa jinsi ya kuhama kutoka matumizi makubwa ya umeme kurudi matumizi madogo!!!
Kwanza inapaswa kujua matumizi yako yapo kundi gani la watumiaji,tunaomba namba yako ya mita na namba ya simu tafadhali
 
Kwenye umeme ulioingia kwenye nyumba pale juu mvua ikinyesha ni tatizo unazima na kuwaka mpaka ugonge, ukiwaita taneso wakija wanasugua tu wanaondoka na tatizo haliishi....
Je hiyo husababishwa na nini? Maana kuna mda panatoa cheche sana.
Eneo gani, namba ya simu, mkoa na wilaya yako, je bado tatizo hilo lipo?
 
Samahani naomba kujua matumuzi ya umeme kwenye muta ya three phase( namaanisha unit ambazo zimekwisha tumika)

Maana hawa tunaowapa kazi mashine wanatuibia kwa kuweka unit je kuna njia nawezatumia kujua total unit used?
 
Kwa three phase unaweza kufika ofisi inayohudumia ujaze fomumili upewe access ya kuona online matumizi yako aidha unaweza kutupatia namba yakonya mita na ya simu tukujulishe hilo
 
Tufanyaje ili kujilinda na surges na fluctuations zenu za umeme?

Juzi tu mmeniunguzia adapter ya PC na charger ya simu. Mtaani pia watu wameunguliwa na vifaa vyao.
 
Hakuna sehemu nimekaa umeme unasumbua kama Wilaya ya Kaliua-Tabora
Kule Tanesco wanakata umeme na kurudisha wanavojisikia mara nyingi (98%) bila hata taarifa.
Kipindi kama hiki wanapiga siku mbili mfululizo mchana na usiku umeme hakuna na hakuna wa kulisemea sio TANESCO wenyewe wala DC wala DED.

Nyie hamuoni kama hii biashara bali wanafanya kama wanawasaidia tu wateja wao.

Visingizio ni kwamba wana marekebisho njia kuu ya Tabora kaliua kupitia urambo lakini hili zoezi halina mwisho.
Kila siku marekebisho
Tunaomba muwashauri wajirekebishe,wanakera sana
 
Tanesco fanyeni msaidie Lindi toka jana saa nane mchana hadi muda hakuna umeme mambo hayaendi fanyeni muwashe hata nusu saa tu.
 
Hivi tanesco mna shida gani kukata Umeme muda usiku huu SAA 00:14 au unataka watu waibiwe na kufanyiwa vitu vya kialifu maeneo yenyewe haya hata police wapo mbali
 
Mimi tatizo ni mita nikiangalia salio naambiwa error 00, nikiingiza umeme naambiwa error 01.Nimeripoti Tanesco Bagamoyo mara nne sina jibu, ila Leo 15 - 11 -1917 wamenipa no ya kuripoti 3714 sijawaona kuja kwa tatizo, nifanyeje?? No yao ni 0682140405 , no yangu ya mita ni 24211016928 nisaidieni.

Jina langu Joseph Abdallah Lebai,Nipo Kerege Ccm Bagamoyo.
 
Back
Top Bottom