Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeomba kwa nina gani namba ya simu mkoa na namba ya fomu ya maombi tafadhaliHabar wapendwa
Jamani mwenzenu Nina miezi miwili tangu niende tanesco kuomba waniunganushie umeme mpaka Leo wahajaja, Nina jirani yangu tuliomba wote yeye amewapa elfu50 eti wamfanyie survey alafu wamekuja ameshalipia wanamwambia mkono mfupi haulambwi wanataka laki 1 wamuingizie. Mm nimekataa sitoi hata mia kama hawataki kuniwekea umeme basi.
Namsubiri anko magu akija tens Tanga naenda kumwambia tanesco wanatutesa wnapenda hela SNA.
Inamaana hamuoni hali ilivyo ngumu alafu mwataka rushwa kuanzia elfu 50, mkipewa elfu10 hamtaki jaman achen dhambi mbona Tanga uwasa hawapo hivyo yaan kama kuna member humu ndani yupo tanesco tanga anisaidie ila rushwa nooooo. Mungu hapendi
Pia ulilipa kiasi ganiHabar wapendwa

Tunaomba namba yako ya simu na eneo haswa unalolitajaHuu umeme wa REA hapa Chanika Zingiziwa- Kibaoni hautuhusu? Mmewaambia wananchi wakate mikorosho na minazi yao halafu umeme unapita juu kwa juu unaenda kuwaka Mvuti na Dondwe porini huko
Kagua wiring yako labda kuna leakage, kagua sana sana earthrod labda ni mbovu..Habari wadau nahitaji kufahamu no jinsi gani naweza kujua matumizi ya umeme kwa electronic yeyote kabla sijanunua.... maana kwangu nina umeme wa luku na matumizi yangu hayaendani na kasi ya umeme unavyotumika.... hivyo nataka nianze kukagua vifaa vyangu vyote vya umeme.... huenda vipo nilivyoingia chaka
Ndugu mpendwa mtejaJambo Tanesco. Tunaomba kuletewa umeme hapa tulipo. Kata ya buyuni, wilaya ya ilala, mtaa wa mgeule, kwa mama Nuru, kuna uwanja wa mpira. Ili kwenda eneo hili unateremka kituo cha KWA ZOO na kufuata njia ya kwenda relini. Maeneo yote umeme umefika isipokuwa eneo hili. Hatujui sababu.
Tunakushauri kutumia vifaa vyenye matumizi madoginya umeme.aidha matumizi ya umeme yanaweza kuwa makubwa kutokana na idadi wa watumiaji, vifaa, ubora wa mtandao wa nyaya kwenye nyumba yako au hata tabia za watumiajiHabari wadau nahitaji kufahamu no jinsi gani naweza kujua matumizi ya umeme kwa electronic yeyote kabla sijanunua.... maana kwangu nina umeme wa luku na matumizi yangu hayaendani na kasi ya umeme unavyotumika.... hivyo nataka nianze kukagua vifaa vyangu vyote vya umeme.... huenda vipo nilivyoingia chaka
Tunaomba namba yako ya simu mprndwa mteja mteja tutakupatia ufafanuzi wa eneo lakoHuu umeme wa REA hapa Chanika Zingiziwa- Kibaoni hautuhusu? Mmewaambia wananchi wakate mikorosho na minazi yao halafu umeme unapita juu kwa juu unaenda kuwaka Mvuti na Dondwe porini huko
Umelipia lini, wilaya na mkoa gani kwa jina gani namba ya simu na kiasi ulicholipia mpendwa mtejaSheria inasemaje kwa mteja Mara tu anapomaliza kulipa inatakiwa apate mita yake ndani ya siku ngapi na kuanza kutumia huduma ya Umeme?