Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)Wakuu naomba kuuliza na kuwaomba tanesco .maeneo ya kimara Mimi Niko kibo hatuna Umeme tangu Jana je ndio mgao?wa Umeme au kuna tatizo mbona mnatutesa ?tunaingia Siku ya tatu biashara zimesimama vitu vinaharibika usalama unazidi kuwa mdogo hasa kutokana na matukio ya watu wasiojulikana mi naamini kukiwa na mwanga nitawajua...tafadhali turudishieni Umeme....
Sent using Jamii Forums mobile app
MkoaHizo ndo nguzo zenu zenye umri wa miaka miwili bila waya.
JAMANI NAHUKURU SANA INGAWA MAJIBU YAMENIPA NUSU MATUM,AINI .. ILA NIMEJISIKIA FAHARI KWA RESPONCE YENU THAT'S HOW USASA ULIVYO .. ASANTENI SANA ...sana kwa kutujali wateja wenu tusaidieni basi liishe tatizo usiku mwema ila kwetu bado giza japo tunajua tarizo sasa ngoja tujipange na wasiojulikana kwa uck huuSHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUTOKEA HITILAFU KATIKA TRANSFORMER LA SIA GARAGE MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) linawataarifa Wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa imetokea hitilafu katika transformer letu la kwa Sia Garage.
Kutokana na hitilafu hiyo baadhi ya maeneo ya kimara kibo na Msewe yanakosa umeme.
HATUA ZILIZOCHUKULIWA
Mafundi wa wanaendelea na kazi ya kutatua tatizo ili kuhakikisha umeme unarejea mapema iwezekanavyo
Kwa mawasiliano: Dawati la dharura Kinondoni Kusini 0784/0715 271461au kituo cha miito ya simu Makao makuu 2194400 au 0768 985100
Mitandao ya Kijamii
Tanesco Yetu,
Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
TANESCO Makao Makuu
Huduma kwa Wateja
Simu: 0768985100/0222194400
Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti:www.tanesco.co.tz
Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu
www.twitter.com/tanescoyetu
TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
Shukrani sana mpendwa mteja shirika lipo pamoja naweweJAMANI NAHUKURU SANA INGAWA MAJIBU YAMENIPA NUSU MATUM,AINI .. ILA NIMEJISIKIA FAHARI KWA RESPONCE YENU THAT'S HOW USASA ULIVYO .. ASANTENI SANA ...sana kwa kutujali wateja wenu tusaidieni basi liishe tatizo usiku mwema ila kwetu bado giza japo tunajua tarizo sasa ngoja tujipange na wasiojulikana kwa uck huu
Bagamoyo eneo gani haswa na namba yako ya simu mpendwa mtejaNi matumaini yangu humu jukwaani tu wazima na shukrani za pekee zimuendee yeye atupae uzima huu pasipo kulipia chchote...bila kusahau dua sala na maombi yetu kwa TL Mungu amjalie aweze kupona haraka arudi kwenye majukumu yake.
Nijielekeze moja kwa moja kwenye mada kuhusu hii katakata ya umeme bagamoyo mjini bila hata taarifa kwetu sisi walaji.
Kama mnapitaga humu tafadhalini sana hii kitu shughulikieni vinginevyo mnataka kututia hasara ya vyombo vyetu vinavyotumia umeme.
Ni kama wiki ya pili hii nashuhudia hii kitu japo hakitokei kila siku lakini si vyema kukalia kimya. Huwa nakereka ila ya Leo ni too much, hivi ndani ya dakika kumi na tano umeme unakatwa na kurudi Mara tano kweli au kunasoketi huko makao makuu zinajizesha off and on automatically,maana haingii akilini kabisa kama lengo ni kukata mkate hata siku nzima tujue moja ila siyo huo mchezo mnaofanya.
kunamtu humu jukwaaani alishawahi kusema yawezekana kunamtu huwa anaenda na mtoto kazini afu anamuacha anachezea main switch ndo anatupa shida mjini sikuwa najua jamaa aliawaza nini ila kwa mwendo huu unaweza kujikuta unayaamini haya maneno hakyanani, kuweni sirias basi ebooo!!
Tatizo hili limeshapokelewa na wataalamu wetu wanalifanyia kazi mpendwa mtejaAaisee huku kwetu Majohe umeme hatuna toka ulipokatika usiku wa jumanne na hatuna taarifa yoyote ile
cc Tanesco kisarawe
mjinga hajijui