TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
sasa imekua kama desturi tanesco kyela kukata umeme kila hasubuhi na kurejesha sa tano usiku..hili tatzo lilianza toka mwezi wa tisa hapo umeme ulikua unakatika kwa muda unarudi.... Lakini sasa unakatika kabisa na kurejesha sa tano usiku...

Mbaya zaidi hatuambiwi tatzo ni nn na hali hii itatengamaa lini maana shughuli nyingi za kijamii zimesimama na tulio wengi tunategemea umeme kupata kipato.. MBUNGE WETU MWAKYEMBE NDIO HAMNA KITU WALA HASEMEI JAMBO HILI WALAU KUTUPOZA SISI WAPIGA KURA WAKE..

shughuli nyingi zimesimama tunataka mtuambie tatzo ni nn? Kwa hali hii nani atashawishika kujenga kiwanda nchini?

HIVI MIKOA MINGINE UMEME UPO?
Mkuu hakuna haja ya kulalamika saaaana maana hata huku Jijin dsm Hali ni hivo hivo Kwahiyo tuwe wavumilivu yaani ni kero saaana siku hizi
 
Mkuu hakuna haja ya kulalamika saaaana maana hata huku Jijin dsm Hali ni hivo hivo Kwahiyo tuwe wavumilivu yaani ni kero saaana siku hizi
Ni mwezi sasa umeme unakatika mchana na kurudi usiku sa tano hivi hvyo viwanda vyetu tutaviendesha kwa kutumia nini?
 
Ni mwezi sasa umeme unakatika mchana na kurudi usiku sa tano hivi hvyo viwanda vyetu tutaviendesha kwa kutumia nini?
Mkuu hata huku dsm ni hivo hivo mkuu imagine mtu unaliona na jengo LA tanesco afu umeme unakata kata inauma saaana ili tuvumilie mkuu huenda mambo yatakaa sawa
 
Mkuu hata huku dsm ni hivo hivo mkuu imagine mtu unaliona na jengo LA tanesco afu umeme unakata kata inauma saaana ili tuvumilie mkuu huenda mambo yatakaa sawa
Watuambie tatizo ni nini ili tuwe na subira kwa mda flani... Watupe muda WA kusubiri sio kama sahivi hatujui ni lini mambo yatatengamaa ili viwanda vyetu vidogo vidogo tujue nini kifanyike na tufanye shughuli zingine za kutuingizia kipato.

Maana ni chanzo pia cha ugumu wa maisha
 
Watuambie tatizo ni nini ili tuwe na subira kwa mda flani... Watupe muda WA kusubiri sio kama sahivi hatujui ni lini mambo yatatengamaa ili viwanda vyetu vidogo vidogo tujue nini kifanyike na tufanye shughuli zingine za kutuingizia kipato... Maana ni chanzo pia cha ugumu wa maisha
Aiseee shida saaana
 
Mkuu sidhani kama ni Kyela pekee

Naamini Rungwe nzima
 
Kyela hamna viwanda umeme wenu wanapewa wilaya zenye viwanda afu nyie mnapewa uck kupunguza joto na mbu ili mzaliane
 
sasa imekua kama desturi tanesco kyela kukata umeme kila hasubuhi na kurejesha sa tano usiku..hili tatzo lilianza toka mwezi wa tisa hapo umeme ulikua unakatika kwa muda unarudi.... Lakini sasa unakatika kabisa na kurejesha sa tano usiku...

Mbaya zaidi hatuambiwi tatzo ni nn na hali hii itatengamaa lini maana shughuli nyingi za kijamii zimesimama na tulio wengi tunategemea umeme kupata kipato.. MBUNGE WETU MWAKYEMBE NDIO HAMNA KITU WALA HASEMEI JAMBO HILI WALAU KUTUPOZA SISI WAPIGA KURA WAKE..

shughuli nyingi zimesimama tunataka mtuambie tatzo ni nn? Kwa hali hii nani atashawishika kujenga kiwanda nchini?

HIVI MIKOA MINGINE UMEME UPO?
Unataka upozwe ili iweje!?

Tatizo la umeme kukatika mpaka Dar es salaam tunaathirika. Fanyeni kazi acheni kulalamika.

After all huko si mna Rais wenu anaitwa Sugu!? Yeye anasemaje kuhusu hili!?
 
Na sio umeme tu huko Tandahimba,nasikia maji nayo ni shida,wananchi huko wanauziwa dumu la 20lts kwa shilingi elfu moja.
Umeme leo ni siku ya tatu hakuna
 
Story za watu hapa jf na social media kulalamika umeme kukatikakatika ila kwa mwanza haikuwepo mpaka nikafikia hatua nikajua ni ya majizi,mapiga deal na yenye vyeti fake yanaongea uongo ili serikali hii inayojali wanyonge ionekane haifanyi kitu na kiuhakika niliungana na Rais wetu mpendwa,Musa wetu anayetupeleka Kanaani nchi ya ahadi katika ku ya enjoy hayo majizi yakilalamika
Sasa bwana,hii week iliyopita hadi leo ni timbwili katika jiji hili liliolompa DR JPM Urais,tunakatiwa umeme balaa,10 minutes ago wamekata,jana walikata asubuhi hadi jioni,siku tatu zilizopita mfululizo wanakata usiku kucha
TANESCO jamani,Hii ni Mwanza,hizo katakata zenu za umeme kafanyeni kimara na Moshi
Kuweni na human face pande hizi,eboooo.
Kuna kitu kinafichwa. Je TANESCO wanayo gesi ya kutosha na je wanailipia?

Umeme wa maji katika kipindi hiki ni wa shida hadi hapo mabwawa yakijaa maji. Huu wa gesi hauna tatizo labda tu gesi ikosekane. Sasa kimbembe gesi si yetu, Shirika lazima liinunue toka kwa wazalishaji. Je Shirika linalipa bili za gesi, vinginevyo itafika mahali gesi itakosekana.

Hapa kinachoendelea ni hili Shirika kuficha maradhi waliyo nayo. Wakumbuke Mwalimu alisema bila kumung'unya maneno " kibhisabhisa obhurweri ekiriro kirombhora" (mfichaficha maradhi, kilio kitamuumbua).

Kamwe wasingoje wafike huko.
 
Yn ni vyema Tanesco wakawa wa kweli kwa watz, kwani ni kipindi sasa kwa sisi wakazi wa Morogoro eneo la bigwa sokoni, umeme unakatika kila siku kuanzia asubuhi Na kurudishwa jioni Na hata muda mwingine SAA 4 usiku ndo unarudi. Mfano km Leo mpaka muda huu umeme haujarudi Na ukiwapigia wanadai matengenezo.

Ni vyema basi watueleze hayo matengenezo ni ya muda gani km miezi au mwaka ili tujifunge mikanda kipindi chote hicho.
 
Yn ni vyema Tanesco wakawa wa kweli kwa watz, kwani ni kipindi sasa kwa sisi wakazi wa Morogoro eneo la bigwa sokoni, umeme unakatika kila siku kuanzia asubuhi Na kurudishwa jioni Na hata muda mwingine SAA 4 usiku ndo unarudi. Mfano km Leo mpaka muda huu umeme haujarudi Na ukiwapigia wanadai matengenezo. Ni vyema basi watueleze hayo matengenezo ni ya muda gani km miezi au mwaka ili tujifunge mikanda kipindi chote hicho.
Umekatika saa ngapi na namba yako ya simu tafadhali
 
Naulizia gharama ya kuvutiwa umeme single phase kwa nguzo tatu ni inagharimu shilingi ngapi?
 
Naulizia gharama ya kuvutiwa umeme single phase kwa nguzo tatu ni inagharimu shilingi ngapi?
7f70ae20852dc267f25e05889b079446.jpg
 
Hivi sio nyie mliosema gesi ikianza kutumika kuzalisha umeme tatizo la kukatika kwa umeme litapungua kwa kiasi kikubwa? Umeme unakatika kila siku singida mpaka kero
 
Umeishia mita umbali wa mita120 na natumai mnavyodai umbali wa nguzo hadi nguzo ni mita 50 kwahiyo ili nifikiwe zitakuwa mita 150 ambazo ni nguzo tatu au hizo mita 120 ni nguzo ngapi?
Ikishakuwa nguzo tatu mpaka tupime ni umbali na vifaa vitakavyotumika na kukupatia gharama za makadirio ya kiasi halisi unachopaswa kulipia, chukua fomu ya maombi ya umeme kisha tutakufahamisha
 
Back
Top Bottom