TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
[QUOTE="Salary Slip, post: 24658611, member: 84376]

Sijui Lissu au CHADEMA ndio wanachochea TANESCO wakate umeme?!

Kwani Da Mange anasemaje?[/QUOTE]
Mkuu nimecheka sana sana sana eti Da MANGE ANASEMAJE... We nimeshakujua unawachokoza 'Makamanda"
Hahahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Huyu hapa lakini uchwara hafukuzi wakolomije wenzie.

Tanesco director directed to fix turbines before leaving

Wakuu huu mgao wa umeme wa siri siri japo unaonekana kwa macho.. Nasema wa siri kwasababu huana maelezo ili watu tujipange kwa kununua ma generator.. Kwa mfano huku mbeya umeme ni kawaida kukatika sa mbili hasubuhi na kurudi sa tano usiku.. Ikumbukwe umeme kwa hii miaka ni muhimu sana kwa shughuli za viwanda vyetu vidogo vidogo kama saloon, welding n.k

Swali nnalo jiuliza ni nani wa kutumbuliwa kwa huu uzembe wa mgao wa umeme usio na kifani? Maana kama kutumbua kwenye sector ya umeme tumetumbua sanaaa hivi sahivi ni zamu ya nani!?

Na anayejua sababu ya umeme kukatika na huu mgao wa kutisha ni ipi?

nchi ya viwonder
 
Yaani Musk alipoulizwa kwenye Twitter
Akasema siku 100 au anawapa bure
Jamaa ni kichwa haswa
Zaidi battery inasemekana inayo capacity(ujazo) wa 129 megawatt hours. Hii ina maana battery inayo uwezo wa kumudu Nyumba 26000 elfu masaa 24 bila kuchajiwa. Matumizi ya kila Nyumba kWh 5 kwa siku.
 
Swali nnalo jiuliza ni nani wa kutumbuliwa kwa huu uzembe wa mgao wa umeme usio na kifani? Maana kama kutumbua kwenye sector ya umeme tumetumbua sanaaa hivi sahivi ni zamu ya nani!? Na anayejua sababu ya umeme kukatika na huu mgao wa kutisha ni ipi?

Tanganyika hii kuna uwajibikaji??? Hapa ni ugwadu ugwadu tu mteja wala huna haki ya kuuliza kwann
 
Hahahah
Braza acha hasira, nimeongea kawaida lkn umetumia nguvu sana
Tangu lini msuli unatumika kufikiri? Ingekuwa hivyo, wabeba vyuma na mabouncer ndo wangekuwa na akili sana...Labda wewe ulitumia nguvu? Eti umeongea kawaida.😀
 
Tangu lini msuli unatumika kufikiri? Ingekuwa hivyo, wabeba vyuma na mabouncer ndo wangekuwa na akili sana...Labda wewe ulitumia nguvu? Eti umeongea kawaida.😀
hahaha
kutumia nguvu si lzm kutumia msuli.
Braza tuliza boli
 
hahaha
kutumia nguvu si lzm kutumia msuli.
Braza tuliza boli
Una akili ndogo sana wewe. Kauli zako zinaonyesha you’re shallow minded.

Wewe ulikuwa unazungumzia nguvu zisizotumia msuli ambazo zinatumika kwenye kufikiri?
 
asante tumelipokea na tutalifanyia kazi
Binafsi Nawapongeza sana kujitangaza pia kuwasiliana na wadau kwa njia hii, Hongereni Sana.

Swali langu ni hili, Utaratibu wa kusajiliwa na kutambuliwa na TANESCO kama Fundi umeme wa majumbani ni upi? (Kufanya wiring)

Nina Diploma ya Power solar & Elecrical installation.
Asante.
 
Mim nilijua Muhongo baada ya kuondolewa kwa maslahi ya wachache,Nchi itaingia gizani na kwel Nchi ipo gizani,sisemi kwa sababu ya ushabiki bali kutokana na utendaji wake,kwa ambao wana kumbukumbu nzuri mgawo wa umeme ulitia fora miaka ile Ngeleja ni Waziri wa Nishati na madini,akaondolewa kwa kashfa,ila nakumbuka Ngeleja alituambia mgawo wa umeme hautaweza kuisha kwa miaka hii ya karibuni,lakin alivyoingia Mhongo tulisahau hiyo adhaa,na ni miongoni mwa Mawaziri waliokuwa wanaojua wajibu wao kiutendaji;na wenye macho waliona hilo;lakin sasa tumerudi kule kule kwa akina Ngeleja,Msabaha na Karamagi;hii Nchi ukiwa mchapakazi utafanyiwa figisu figisu mpaka utaondolewa,pamoja na mabaya yake kama Mwanadam lakini mazuri yake ni mengi zaidi na yenye faida.Wizara ya Nishati na Madini ni wizara ambayo ni pasua kichwa lakini siku zote lakini Muhongo hakika aliimudu,tusitegemee jipya kwa sasa wakuu.
 
Wakuu huu mgao wa umeme wa siri siri japo unaonekana kwa macho.. Nasema wa siri kwasababu huana maelezo ili watu tujipange kwa kununua ma generator.. Kwa mfano huku mbeya umeme ni kawaida kukatika sa mbili hasubuhi na kurudi sa tano usiku.. Ikumbukwe umeme kwa hii miaka ni muhimu sana kwa shughuli za viwanda vyetu vidogo vidogo kama saloon, welding n.k

Swali nnalo jiuliza ni nani wa kutumbuliwa kwa huu uzembe wa mgao wa umeme usio na kifani? Maana kama kutumbua kwenye sector ya umeme tumetumbua sanaaa hivi sahivi ni zamu ya nani!?

Na anayejua sababu ya umeme kukatika na huu mgao wa kutisha ni ipi?

nchi ya viwonder
Nadhani yule waziri ambaye kazi yk ni kutumbua Wataalamu (Behind Cameras) kutumbua watendaji km kuna tatizo siyo kutatua Tatizo
 
Dawa ni kumrudisha Engineer Mramba walimtoa kwa fitina na jamaa alilimudu shirika vizuri sana na soon lilikuwa linaelekea kuingiza faida sahv as i speak linahali mbaya sana kifedha
 
Binafsi Nawapongeza sana kujitangaza pia kuwasiliana na wadau kwa njia hii, Hongereni Sana.
Swali langu ni hili, Utaratibu wa kusajiliwa na kutambuliwa na TANESCO kama Fundi umeme wa majumbani ni upi? (Kufanya wiring)
Nina Diploma ya Power solar & Elecrical installation.
Asante.
Uwe unatambuliwa na Ewura AU Kudhibitishwa ndio ulete maombi na viambanisho vyao Tanesco
 
Kuna usemi kuwa aliyeshiba hamjui mwenye njaa!
Kumekuwa na tatizo la kukatika umeme kwa muda sasa lakini hakuna kauli yoyote toka "juu" angalau ya kututia moyo kwamba tatizo la kukatika kwa umeme "litakuwa historia!"
Inawezekana kabisa kule 'juu" umeme haukatiki, naomba "mkata umeme" ujifanye umekosea basi kaukate hata kwa dakika 10 ili angalau kauli itoke ya kututia moyo! Inakera sana!
 
Yaani Tumerudi Tanzania ya enzi za mwinyi,sasa Wauza generetors kariakoo wanachekelea tu.
 
Ni sawa na kusema unamuombea tajiri mengi au bakhresa awe maskini ili mfanane... wataz bwana hakika hivi viwanda vikitokea n maajabu ya dunia kwa akili hizi
 
Back
Top Bottom