Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Hapa kariakoo umeme umekatika na sijajua sababu ya kukatika kwa umeme,mafundi simu leo ni kukopa tu vya watu, mnawasabishia madeni wafu,vinyozi nao sijui inakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh Jana nilishindwa kupokea cm yenu nilikuwa nimetingwa na kazi
Eneo gani na namba ya simu mkuu
Ttizo hili limerudia tena! tunaomba solution ya kudumu tafadhali. Kawe mikoroshini, nguzo iliyoko hospitali ya Usambara inatoa cheche na umeme unazima na kuwaka. Nyumba moja hauwaki kabisa. Tunaomba msaada tusije pata madhara makubwa.
Kwahiyo ni bora tukae kizan?kutokana na kipato chetu ni ngumu kumudu hizo gharama,mnatusaidiaje?Hii inategemea na kiasi cha deni ulilonalo mfano unadai 10m kwa mwezi unanunua umeme wa 5000 itakuchukua miaka mingapi kumaliza deni
dah, na vyuma vilivyokaza ivi awa jamaa wamekutupa uku tariff class ya kibabe!Nilitolewa kwenye huduma ya units 75 kwa tsh 10000 sasa nitarudishwaje kwenye hii huduma
Nimewaita tuu mkuuWamefanya je tena