TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
*TAARIFA KWA UMMA*

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wote wanao tumia mita za malipo ya kabla yaani (LUKU) kuwa, kuanzia April 2, 2018 TANESCO itahamia rasmi katika mfumo wa malipo wa Serikali ujulikanao kama Government e-Payment Gateway (GePG) kama matakwa ya sheria kwa Taasisi za Serikali.

TANESCO ikiwa miongoni mwa Taasisi za Serikali, itaanza kutumia mfumo huu kwa kufanya mauzo ya LUKU kupitia ofisi za TANESCO, Kampuni za simu pamoja na Benki zote zinazofanya mauzo ya LUKU kupitia huduma za kibenki.

Serikali kwa kushirikiana na Wataalamu wa TANESCO itahakikisha kuwa mfumo huu unafanya kazi bila kuathiri manunuzi ya LUKU. Ifahamike kwamba, TANESCO ni miongoni mwa Taasisi za Serikali zitakazotumia mfumo huu mpya na hadi hivi sasa Taasisi nyingine za Serikali zimeshaanza kutumia kwa mafanikio, baadhi ya Taasisi hizo ni Polisi, Brella, Ardhi, TRA pamoja na Mamlaka za maji.

TANESCO inapenda kuwahakikishia wateja wote kuwa mbali na Kampuni za simu ofisi zote za Shirika na vituo vya mauzo ya LUKU vitaendelea kutoa huduma katika kipindi chote cha Sikukuu ya Pasaka.

TANESCO ‘‘Tunayaangaza Maisha yako’’

Kwa mawasiliano

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:

Mitandao ya kijamii

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook Tanesco Yetu

IMETOLEWA NA:

OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU

MACHI 27, 2018
Mbona mwanzo ulivyoambiwa ulikataa??
Nina wasi wewe ni mtu wa kawaida tu hapo Tanesco na hujatumwa na Kampuni kumiliki hii akaunti, maana taarifa nyingi wewe huna
 
Hio ni taarifa kamili, toka TANESCO
 
*TAARIFA KWA UMMA*

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wote wanao tumia mita za malipo ya kabla yaani (LUKU) kuwa, kuanzia April 2, 2018 TANESCO itahamia rasmi katika mfumo wa malipo wa Serikali ujulikanao kama Government e-Payment Gateway (GePG) kama matakwa ya sheria kwa Taasisi za Serikali.

TANESCO ikiwa miongoni mwa Taasisi za Serikali, itaanza kutumia mfumo huu kwa kufanya mauzo ya LUKU kupitia ofisi za TANESCO, Kampuni za simu pamoja na Benki zote zinazofanya mauzo ya LUKU kupitia huduma za kibenki.

Serikali kwa kushirikiana na Wataalamu wa TANESCO itahakikisha kuwa mfumo huu unafanya kazi bila kuathiri manunuzi ya LUKU. Ifahamike kwamba, TANESCO ni miongoni mwa Taasisi za Serikali zitakazotumia mfumo huu mpya na hadi hivi sasa Taasisi nyingine za Serikali zimeshaanza kutumia kwa mafanikio, baadhi ya Taasisi hizo ni Polisi, Brella, Ardhi, TRA pamoja na Mamlaka za maji.

TANESCO inapenda kuwahakikishia wateja wote kuwa mbali na Kampuni za simu ofisi zote za Shirika na vituo vya mauzo ya LUKU vitaendelea kutoa huduma katika kipindi chote cha Sikukuu ya Pasaka.

TANESCO ‘‘Tunayaangaza Maisha yako’’

Kwa mawasiliano

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:

Mitandao ya kijamii

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook Tanesco Yetu

IMETOLEWA NA:

OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU

MACHI 27, 2018
 
Inatia moyo, ila huko mbeleni msikimbie maswali na malalaniko ya wadau wenu PIA kwa siku za usoni msije mkauacha HUKIWA huu uzi.

KARIBUNI.
Wala usipate shaka ndugu,
Tunauwakika ndio maana tupo hapa..
 
Tunashukuru kwa taarifa.......je hii ina impact gan kwa Maxcom na Selcom vendors.
*TAARIFA KWA UMMA*

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wote wanao tumia mita za malipo ya kabla yaani (LUKU) kuwa, kuanzia April 2, 2018 TANESCO itahamia rasmi katika mfumo wa malipo wa Serikali ujulikanao kama Government e-Payment Gateway (GePG) kama matakwa ya sheria kwa Taasisi za Serikali.

TANESCO ikiwa miongoni mwa Taasisi za Serikali, itaanza kutumia mfumo huu kwa kufanya mauzo ya LUKU kupitia ofisi za TANESCO, Kampuni za simu pamoja na Benki zote zinazofanya mauzo ya LUKU kupitia huduma za kibenki.

Serikali kwa kushirikiana na Wataalamu wa TANESCO itahakikisha kuwa mfumo huu unafanya kazi bila kuathiri manunuzi ya LUKU. Ifahamike kwamba, TANESCO ni miongoni mwa Taasisi za Serikali zitakazotumia mfumo huu mpya na hadi hivi sasa Taasisi nyingine za Serikali zimeshaanza kutumia kwa mafanikio, baadhi ya Taasisi hizo ni Polisi, Brella, Ardhi, TRA pamoja na Mamlaka za maji.

TANESCO inapenda kuwahakikishia wateja wote kuwa mbali na Kampuni za simu ofisi zote za Shirika na vituo vya mauzo ya LUKU vitaendelea kutoa huduma katika kipindi chote cha Sikukuu ya Pasaka.

TANESCO ‘‘Tunayaangaza Maisha yako’’

Kwa mawasiliano

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:

Mitandao ya kijamii

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook Tanesco Yetu

IMETOLEWA NA:

OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU

MACHI 27, 2018
 
Tunashukuru kwa taarifa.......je hii ina impact gan kwa Maxcom na Selcom vendors.
Nami pia ningependa kujua hili...
TANESCO jibuni haraka sanaaaa hili swali msipojibu nawatumbua .
 
Huduma zitaendelea kuwepo kama kawaida, swala la impact kwa washirika wetu ni la ndani ni lanahusu wao na sisi
 
Kwahiyo mnatuhakikishia sie wauzaji wa luku kupitia mashine za selcom na Maxmalipo hakutakua na mabadiliko?
 
Mlikata umeme ubungo juzi saa6 mchana mkarudisha jana Saa10
kwakweli mnajua madhara yake nafikiri
 
Sijasema sio taarifa kamili,
Ila nasema wewe sio msemaji rasmi wa Tanesco,
Sie wa mtaani tunazipata taarifa mapema zaidi kuliko wewe
Taarifa za mauzo ya LUKU zinatolewa na TANESCO ila za washirika kama ulivyouliza wanatoa wao
 
WATUMIAJI WA UMEME WA LUKU CHUKUENI TAHADHARI MAPEMA

Wakuu natumaini mmeshinda
Kwa habari nilizozipata leo ni kuws mkataba kati ya Tanesco na Maxcom (MaxMalipo) wa kuuza token za umeme (LUKU) utakwisha mwisho wa wezi huu na hakuna dalili kwamba wataongeza mkataba siku za karibuni.Ikumbukwe kuwa Maxcom ndio wenye mkataba wa kuuza umeme kwa wateja wa Tanesco na hivyo wao pia wameingia ubia na makampuni ya simu kama Tigo, Voda n.k na hivyo kuisha kwa mkataba wa Maxcom ina maana hutaweza pia kununua kwenye simu.

Hii ina maana kuwa, baada ya tarehe 31 March ukitaka umeme lazima uende katika office ya Tanesco ili kupata huduma hii. Hata wale vendors maarufu wa Tanesco waliopo mitaani hawatakuwa na uwezo wa kuuza umeme. Hivyo wakuu naomba kuwapa tahadhari kwa wale wenye sehemu za biashara wanaotumia LUKU na watumiaji wote wa LUKU hata wa majumbani mchukue tahadhari mapema kabla hali ya taharuki haijazuka ukizingatia sikukuu hii ya pasaka inakuja hakuna ambae angependa kukaa giza siku kadhaa kisa ameshindwa kununua LUKU.

Mpaka sasa hakuna suluhisho lililofikiwa zaidi ya kuwa LUKU itauzwa katika ofisi ya Tanesco na hivyo nawaasa ndugu zangu mnunue kuanzia leo na kesho umeme wa kutosha hata week kadhaa maana kuna kadhia inakuja hapa mbeleni.
Ukiupata ujumbe huu tafadhali usiwe mchoyo mshtue na jirani yako. Mtag rafiki yako ili ajue asije kukuwekea jam nyumbani kwako kucharge simu au kupiga pasi.
Asanteni

Je hii taarifa ina ukweli wowote ?
 
Tanesco kuna matatizo makubwa ya kupungua kwa umeme maeneo ya DSM. Juzi kuna mango maarufu meneo ya salasal ameunguliwa na duka kubwa LA jumla likiwa n Mali za thamani kubwa. Hebu tuelezeni mini kinaendelea
 
Mteja huyu alete taarifa kwa maandishi uchunguzi utafanyika kisha taarifa itatolewa na maamuzi kama ni tanesco au yeye.mara kadhaa ikitokea shoti tunadhani ni tanesco kumbe wakati mwingine ni tatizo na kwa mteja kuweka matumizi zaidi ya alichoomba
 
TANESCO Makao makuu wafuatilie mwenendo wa maofisa wao walioko kwenye tawi lao la Mbezi, kutokana na huduma zisizodhirisha za ofisi hiyo.
Kuna wateja ambao wameshalipia kuwekewa umeme kwa zaidi ya miezi sita lakini hata survey haijafanyika. Kila wanapofuatilia kufanyiwa survey wanaambiwa kuwa hakuna usafiri. Kuna ambao walikuwa tayari kutumia usafiri wao, na wengine hata kukodi magari, lakini wakajibiwa kuwa hairuhusiwi kutumia usafiri binafsi. Sasa wateja hawa waende kwa nani ? Nakumbuka Waziri wa nishati alisema siku kadhaa zilizopita kuwa mtu anayekamilisha malipo ya kuwekewa umeme awe amewekewa ndani ya siku saba.
Maofisa hawa wanafanya makusudi ili serikali ichukiwe na wananchi. Tafadhali suala hili lifuatiliwe, la sivyo tutaliwasilisa kwa Mheshimia Reais wa Jamhurimya Muungano wa Tanzania baada ya sikukuu ya Pasaka.
 
TANESCO kuna mgawo Kigamboni? Jana umeme umekatika kuanzia 0900-2100. Na leo umekatika 0900 sijui mtarudisha saa ngapi.

Siku kama leo mtu unaamua kupumzika nyumbani mnakata umeme!
 
TANESCO Makao makuu wafuatilie mwenendo wa maofisa wao walioko kwenye tawi lao la Mbezi, kutokana na huduma zisizodhirisha za ofisi hiyo.
Kuna wateja ambao wameshalipia kuwekewa umeme kwa zaidi ya miezi sita lakini hata survey haijafanyika. Kila wanapofuatilia kufanyiwa survey wanaambiwa kuwa hakuna usafiri. Kuna ambao walikuwa tayari kutumia usafiri wao, na wengine hata kukodi magari, lakini wakajibiwa kuwa hairuhusiwi kutumia usafiri binafsi. Sasa wateja hawa waende kwa nani ? Nakumbuka Waziri wa nishati alisema siku kadhaa zilizopita kuwa mtu anayekamilisha malipo ya kuwekewa umeme awe amewekewa ndani ya siku saba.
Maofisa hawa wanafanya makusudi ili serikali ichukiwe na wananchi. Tafadhali suala hili lifuatiliwe, la sivyo tutaliwasilisa kwa Mheshimia Reais wa Jamhurimya Muungano wa Tanzania baada ya sikukuu ya Pasaka.
Ndugu hiyo kauli ya "umeme ndani ya siku saba" hata mie ilinihadaa na nikahadaika. Nimelipia nasubiri umeme badala ya siku saba sasa inaelekea " siku saba mara sabini".
 
Kwa maana nyingine TANESCO kwa makusudi, hawataki kutekeleza maagizo yanSerikali wakati uwezekano wa kutekeleza upo. Mheshimiwa Waziri Kalemani unaliona hili. Jinsi TANESCO wanavyokupuuza, kwa kupuuza maagizo yako ?
 
Back
Top Bottom