TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Heri ya pasaka wana-jf. Naomba mnisaidie mawazo ni wapi umeme wa luku unapatikana leo maana kwenye mpesa naona huduma haipo muda huu. Nikilaza watu gizani leo hawatanielewa.
Nunua kwa tigo pesa Mkuu. Nimenunua LUKU muda si mrefu umekubali. M pesa imegoma
 
wadau mm niimemunua luku kwa tigo pesa sasa hvi chakushangaza kuna makato ya ziada nimekatwa wanaita ada wakati hapo nyuma luku nilikua sikatwi hata thumni nimewapigia tigo wakanambia ni utaratibu mpya nikawauliza hayo makato niya serikali au yakwao wakanijibu ya serikali na wanakata asilimia 1% ya kila hela utakayokuwa unanua mpaka sasa hvi sijatumiwa cha token wala nini

malalamiko yangu kwann serikali haiwafamishi wateja wake kuhusiana na haya makato nilichokiskia kwenye habari sio hiki tigo walinambia wameanza kutumia mfumo mpya wa malipo ya luku kwa kutumia wakala wa serikali kama kawaida sijaambiwa chochote kuhusu haya makato

kiukweli sijajua huu umeme nitaupata wapi kwani biashara yangu inategemea umeme na hawa tanesco hawa habari na wateja wao wanakula pasaka shikamoo serikali
 
Toka Jana nimenunua kwa m-pesa mpaka sasa hawajanitumia token
 
Nimejaribu kwa M-PESA imezingua nikanunua kwa Tigo Pesa
 
Mh! au ndio ile habari ya kwenda kununua luku kwenye ofisi za tanesco imeanza
 
TANESCO naomba kusaidiwa Mimi nimelipia kufungiwa umeme lakini sijafungiwa umeme huu Mwezi wa tatu .. naomba unisaidie na mimi nipate Huduma ya umeme.

Naitwa Leonard R Lazaro nipo bujingwa mwanza na nililipia kituo cha Nyakato. Namba yangu 0767101328 .. mnisaidie Jamani nimechoka kukaa gizani
 
Aisee najaribu kununua umeme lakini haiwezekani nimenunua kwa m pesa nimeshindwa nikaenda selcom napo wameshindwa na maxmalipo pia sijuw nifanyeje
Tanesco are not serious at all.
Wanafanya kazi kwa mazoea.
 
TANESCO naomba kusaidiwa Mimi nimelipia kufungiwa umeme lakini sijafungiwa umeme huu Mwezi wa tatu .. naomba unisaidie na mimi nipate Huduma ya umeme
Naitwa Leonard R Lazaro nipo bujingwa mwanza na nililipia kituo cha Nyakato. Namba yangu 0767101328 .. mnisaidie Jamani nimechoka kukaa gizani
IMG_20180331_125010.jpeg
 
Tumepokea taarifa mpendwa mteja wetu
 
Back
Top Bottom