Niliweka mpaka risiti za malipo lakini kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliweka mpaka risiti za malipo lakini kimya
Hatuna umeme leo ni siku ya tatu meter imetemper na mafundi wa tanesco wamekuja tayari, sasa inabidi tupewe hizo namba za kuondoa temper tangia jana mpaka muda huu hatujapata. Hebu nisaidie kupata tb no 1989 . Namba yangu ya simu 0714890018 . Tatizo lipo kinondoniSwala lako linafanyiwa kazi mpendwa mteja
Kinondoni eneo gani haswaHatuna umeme leo ni siku ya tatu meter imetemper na mafundi wa tanesco wamekuja tayari, sasa inabidi tupewe hizo namba za kuondoa temper tangia jana mpaka muda huu hatujapata. Hebu nisaidie kupata tb no 1989 . Namba yangu ya simu 0714890018 . Tatizo lipo kinondoni
kinondoni mkwajuni pembeni na bar ya masai pub, mafundi wameshafika wakasema wanarejesha ripoti ili tupewe temper number lakini tangia asubuhi tunawatafuta hawajatupatia hiyo nambaKinondoni eneo gani haswa
Kinondoni eneo gani haswa
Namba ya mita ni ngapi
Huo used fika nao ofisini muone mhasibu wa eneo lakoNipo Dodoma mjini maeneo ya oysterbay nimekuwa nikinunua umeme Kisha nikiingiza token nilizotumiwa na Tanesco luku remote inasoma "already used"JE TATIZO NINI NA HATA NIKI TOA TAARIFA KWA KITENGO CHA LUKU NAAMBIWA NINUNUE UMEME MWINGINE NA ULE ULIO SOMA USED SIRUDISHIWI HATA MIA hili limekuwa Mara mbili sasa
Mheshimiwa. Mbona hutoi neno kuhusu nguzo ? Sema tatizo lenu tuwape ufumbuzi....NGUZO ...NGUZO NA KUCHELEWESHEWA KUUNGANISHIWA KWENYE NYUMBA NA VIWANDAHuo used fika nawo ofisini muone mwasibu wa eneo lako
Wamekata mbona[emoji23][emoji23][emoji23]Leo pamoja na mvua kunyesha kutwa nzima, lakini tanesco hawajakata umeme