TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Swala lako linafanyiwa kazi mpendwa mteja
Hatuna umeme leo ni siku ya tatu meter imetemper na mafundi wa tanesco wamekuja tayari, sasa inabidi tupewe hizo namba za kuondoa temper tangia jana mpaka muda huu hatujapata. Hebu nisaidie kupata tb no 1989 . Namba yangu ya simu 0714890018 . Tatizo lipo kinondoni
 
Kinondoni eneo gani haswa
 
Kinondoni eneo gani haswa
kinondoni mkwajuni pembeni na bar ya masai pub, mafundi wameshafika wakasema wanarejesha ripoti ili tupewe temper number lakini tangia asubuhi tunawatafuta hawajatupatia hiyo namba
 
Nauliza tena. Tatizo la nguzo Kibaha pwani litaisha lini ? Kwanini msiende kununua nguzo za zege ?
Tatizo liko wapi ?
Mkituambia tatizo tutawaonyesha njia.msiogope
 
Asante kwa kutuelimisha kuhusu masuala kadhaa kuhusiana na huduma mbalimbali za Tanesco. Naomba kujua vigezo ambavyo Tanesco wanatumia katika kumweka mteja kwenye Tarrif (T1) au D(1) kama sijakosea. Je natakiwa kufuata taratibu zipi endapo nimewekwa kwenye Tariff ambayo siyo sawa? Naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Nipo Dodoma mjini maeneo ya oysterbay nimekuwa nikinunua umeme Kisha nikiingiza token nilizotumiwa na Tanesco luku remote inasoma "already used"JE TATIZO NINI NA HATA NIKI TOA TAARIFA KWA KITENGO CHA LUKU NAAMBIWA NINUNUE UMEME MWINGINE NA ULE ULIO SOMA USED SIRUDISHIWI HATA MIA hili limekuwa Mara mbili sasa
 
Huo used fika nao ofisini muone mhasibu wa eneo lako
 
Huo used fika nawo ofisini muone mwasibu wa eneo lako
Mheshimiwa. Mbona hutoi neno kuhusu nguzo ? Sema tatizo lenu tuwape ufumbuzi....NGUZO ...NGUZO NA KUCHELEWESHEWA KUUNGANISHIWA KWENYE NYUMBA NA VIWANDA
 
Leo pamoja na mvua kunyesha kutwa nzima, lakini tanesco hawajakata umeme
 
Hivi kwanini mnakata umeme sinza kila siku usiku saa tatu hadi asubuhi hii si sawa kbsa Tanesco
 
Naomba namba ya Emergency TANESCO Ilala, hii 0715768589 haipatikani. Nilipewa namba hii kutokea 0784768586 ambako niliuzia sababu ya kukatika kwa umeme nikaambiwa nipege kwenye hiyo namba ambayo haipatikani
 
Back
Top Bottom