TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Hizi namba ulizoweka hapa ni almost rubbish, weka zako tukupigie ili wewe ndiyo uwapigie, tukiwapigia sisi wanatudharau sana na wala hawafanyi chochote

Hiyo picha ni ya watendaji wako wa Morogoro ambao wametushinda labda wewe uwaambie waje watengeneze, tutakutumia nyingine nyingi tu

View attachment 754699
Ndugu mpendwa mteja
Tunaomba taarifa za eneo, namba ya simu, tatizo na wilaya tuifanyia kazi hapa pia ni sehemu rasmi kukuhudumia
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Hii unajaza wapi au unatuma wapi maana hamna email address wala sanduku la posta
 
Je!? Kuna uwezekano wa kufungiwa meter 2 za luku katika Nyumba 1
Maana tuko wapangaji wawili mmoja kachukua nyumba Kubwa mwengne banda la uwani
 
Mkuu nasikitika huko serious.
Narudia tena...
JINA ....Magdalena Kaniki
SIMU......0755 759999
MKOA......Pwani
WILAYA....Kibaha
ENEO.......Kongowe
ALAMA....Mashine ya maji mbuyuni
Barabara ya Soga (SRG)
TUNATAKA KUUNGANISHIWA UMEME TULISHALIPA KITAMBO
WAKO KTK UJENZI WA TAIFA
THREAD NO. 4190
Updates please......
 
Tafadhali pitia website yetu www. tanesco.co.tz kuona mikakati ya kuonbeza na kuboresha upatikanaji wa umeme nchini,

Elimu ya matumizi bora ya umem inatolewa mikoa yote nchini kupitia timu ya wataalamu wetu waliopp nchi nzima
Thanks
 
Naandika hapa nikiwa na machungu ya kukaa gizani kwa karibia mwezi mzima kisa meter ya Luku mbovu na sio kwamba niko kijijini niko mjini.Kwa dunia ya sasa mtu unawezaje kukaa bila nishati ya umeme kwa karibia mwezi? kuna watoto wanasoma, kuna appliances nyingi za umeme zinatumia umeme, fridges etc , tunaendaje makazini na nguo zisizo njooshwa kisa umeme???

Nirudi kwenye topic meter yangu iliharibika karibu mwezi umepita sasa nimeitolea report tanesco sadly kila siku nikienda napigwa kalenda njoo kesho njoo kesho.Swali langu kwamba tanesco hua hamjui kwamba meter zenu zina expire dates ( nimekutana na wenzangu pia wenye mita zenye no kama zangu pia zimeharibika wengine wana miezi 2 hawajapata mpya) ili mzibadilishe mapema mtuepushie adha wateja wenu?

Kitu kilichonihudhunisha leo nilipewa appointment leo kua meter yangu itakua tayari ila majibu niliyojibiwa yameni dissapoint sana eti 'SISI WENYEWE HATUJUI METER ZITAKUJA LINI WEWE KASUBIRI SIKU ZIKIJA TUTAKUPIGIA SIMU' seriously?? yaani mimi naacha kazi zangu kila siku nafanya shunting kufatilia meter naambulia majibu ya kishujaa namna hii??

Sadly nimemfata branch manager nae hana msaada yuko hopeless!

MY WAY FORWARD!
Kutokana na kukatishwa tamaa na watendaji wenu mimi kama raia mwema nisiyependa kugombana na nyie tena na kupoteza muda wangu tena rasmi natafuta KISHOKA aniunganishie umeme illegal nimechoka drama zenu na kukaa gizani kama niko porini
 
Ndugu mpendwa mteja
Tunaomba taarifa za eneo, namba ya simu, tatizo na wilaya tuifanyia kazi hapa pia ni sehemu rasmi kukuhudumia

Haya kwa kuanzia chukua grid reference hizi hapa tuone kama nawe unawajibika au upo hapa kimagumashi.

-6.825615, 37.697527
 
Naandika hapa nikiwa na machungu ya kukaa gizani kwa karibia mwezi mzima kisa meter ya Luku mbovu na sio kwamba niko kijijini niko mjini.Kwa dunia ya sasa mtu unawezaje kukaa bila nishati ya umeme kwa karibia mwezi? kuna watoto wanasoma, kuna appliances nyingi za umeme zinatumia umeme, fridges etc , tunaendaje makazini na nguo zisizo njooshwa kisa umeme???

Nirudi kwenye topic meter yangu iliharibika karibu mwezi umepita sasa nimeitolea report tanesco sadly kila siku nikienda napigwa kalenda njoo kesho njoo kesho.Swali langu kwamba tanesco hua hamjui kwamba meter zenu zina expire dates ( nimekutana na wenzangu pia wenye mita zenye no kama zangu pia zimeharibika wengine wana miezi 2 hawajapata mpya) ili mzibadilishe mapema mtuepushie adha wateja wenu?

Kitu kilichonihudhunisha leo nilipewa appointment leo kua meter yangu itakua tayari ila majibu niliyojibiwa yameni dissapoint sana eti 'SISI WENYEWE HATUJUI METER ZITAKUJA LINI WEWE KASUBIRI SIKU ZIKIJA TUTAKUPIGIA SIMU' seriously?? yaani mimi naacha kazi zangu kila siku nafanya shunting kufatilia meter naambulia majibu ya kishujaa namna hii??

Sadly nimemfata branch manager nae hana msaada yuko hopeless!

MY WAY FORWARD!
Kutokana na kukatishwa tamaa na watendaji wenu mimi kama raia mwema nisiyependa kugombana na nyie tena na kupoteza muda wangu tena rasmi natafuta KISHOKA aniunganishie umeme illegal nimechoka drama zenu na kukaa gizani kama niko porini
Tunaomba namba yako ya simu, namba ya taarifa, eneo na wilaya yako kwa hatua zaidi
 
Tunaomba namba yako ya simu, namba ya taarifa

Sorry siwezi kuanika namba zangu za simu wala namba ya rejea mtandaoni kwa usalama wangu mtoa taarifa, kwakuwa siyo wote wanafurahia kufikishiwa malalamiko HQ, tunajenga uadui na watumishi wenu, ila kwa kukusaidia tu, tumia GPS au copy na ku paste hizo namba kwenye google earth itakufikisha kwenye hilo eneo utaona yaliyopo, ukisubiri kutafuniwa kila kitu ndiyo kazi zinaishia kukwama, nakushauri usiwe na mawazo mgando kusubiri kuletewa kila kitu mezani, tumia njia mchanganyiko kufikia lengo katika kutatua tatizo
 
Lengo la ukurasa huu ni kukuhudumie wewe mpendwa mteja unaweza kutoa taarifa hapa au inbox tukazifanyia kazi, kulalamika bila kutoa ushirikiano sio jambo jema
 
Nimekupa ushirikiano kwa kukukupa image ya waya zilivyo, nimekupa location ya tatizo lilipo kama una seriousness katika kazi yako anza na taarifa hizo za awali badala ya kung'ang'ania namba ambazo ni ki kitu kidogo lakini chenye kusababisha risk kwa mtoa taarifa, tunayafanya haya kwakuwa zama hizi ni mbaya kiongozi, wasiojulikana ni threat
 
#Tanesco# Kibamba#

Tunaomba support ya haraka hapa Kimara Kwakichwa hatuna umeme tangu saa 2 usiku kuna short juu ya nguzo

Cha ajabu nimekuja mmekagua na mmetuacha na giza Wateja wenu

Hii ni haki kweli?
 
Eneo gani, namba ya simu na namba ya taarifa
 
Naambiwa kule Ngara/ Rulenge kuna tatizo kubwa sana la umeme. Ni Mwezi sasa umeme unaweza kuwa kwa saa moja tu au mawili kwa siku. Rulenge wameungwa kwenye grid kutoka kwenye majenerato, tangu wakati huo umeme ni shida sana. Ngara wanawasha jenereta umeme ukikatika wa grid, Rulenge, Benaco hapana hadi grid irudi. Saidieni
 
Back
Top Bottom