Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mita namba 24213664451,nipo dar nimeenda Tanesco kibaoni wamesema hyo huduma kwa jiji la dar haipo kwa sasa kwa sababu haipo,kwa sababu watu wa mjini mkiwahamisha wote tariff shirika litakosa mapato,je hilo ni jibu la shirika au?Namba ngapi mpendwa mteja
Salaam mkuu, nazidi kusubiria jibu kwa hamu.Tutakupatia mrejesho mpendwa mteja wetu
nilinunua umeme kwa mara ya kwanza kwa ajili ya LUKU mpya...Ulilipia huduma gani na namba yako ya simu
Mkuu hili swali nimeuliza karibia mara kumi hapa sipati jibu,inabidi tukusanye maoni tumpelekee Rais Magufuli maana shirika zima halina majibu ya suala hili,hakuna kitu kinaniudhi kama ili swala la tariff
Niko mtaa mmoja na jirani yangu matumizi ya umeme karibu yanafanana Mimi na yeye lakini yeye amejaza fomu amebadilishiwa Tariff hivi sasa ananunua umeme wa shs elfu Tisa (9 ,000 anapata unit 72
Mimi nanunua umeme wa shs 10,000 napata unit 28
Sasa haya mashirika ya umeme hapa Tanzania yapo mawili au hizi tariff zinatolewa kwa rushwa
Kama ni kukosa tukose wote au kupata tupate wote
hii taarifa nitafanya juu chini mbaka imfikie mh RAIS MAGUFULI
sisi sote ni watanzania haiwezekani wengine wapewe unafuu wa maisha sijui ni kwa rushwa ? Wengine tunyimwe hii ni double standard hatuwezi kuendesha shirika kwa stahili hii
huyo mkurugenzi wa Tanesco afanye maamuzi hama wateja wote wa mjini warudishwe tariff 1 au atuondolee huu ujinga wateja tupo mtaa mmoja vigezo na masharti matumizi chini ya unit 70 alafu mwingine apewe mwingine anyimwe ili aliwezekani kunyamaziwa ..
Mkurugenzi wa Tanesco kwa ili swala la Tariff 1: sijui Tariff 4Mkuu hili swali nimeuliza karibia mara kumi hapa sipati jibu,inabidi tukusanye maoni tumpelekee Rais Magufuli maana shirika zima halina majibu ya suala hili,
Je bado tatizo linaendelea kwaki? Tunakmba namba yako ya simuKuna tatizo hivi sasa la umeme wilaya ya mufindi hususani mji wa Mafinga mjini,umeme hauna nguvu, toka jana usiku umeme unakuja halafu unakata, ni bora ungezimwa Kwanza kuliko hivi, vitu vinaungua jamani.
Tunaomba namba yako ya simu tufatilie swala lako mpendwa mtejaTanesco
Mteja anawekewa nguzo bila kuungwa wire wiki mbili
Huu ni utaratibu wenu?
Imagine unalipa huduma tangu May mpaka sasa hujapata umeme!
Ajabu kubwa kuna waliolipa July wameunganishwa na huduma.
Jamani sote ni watanzania.
Tanesco ya Mbezi ya Kimara
kuna customer care ya hovyo, majibu mabaya sana kwa wateja wapendwa hasa kwa afisa mahusiano pale Kontena na Chumba namba 8.
Si mtang'oa hata hii iliyowekwa sasa?Tunaomba namba yako ya simu tufatilie swala lako mpendwa mteja