Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulitoa ratiba ya mwezi mzima kwani kuna ujenzi wa laini mpya eneo husikaTanesco, kuna nini Gongolamboto? Kwa nini kila siku mnakata umeme kwa Massa zaidi ya 8? Kwa nini mnakata umeme Masaa ambayo watu wanafanya shughuli za kiuchumi?
Mbona ratiba ilionyesha ujenz unaisha wiki iliyopita sasa mbona mnaendelea kukata bila taarifaTulitoa ratiba ya mwezi mzima kwani kuna ujenzi wa laini mpya eneo husika
Wewe unaridhika kwa utaratibu huo? Viwanda vitakwenda kweli kwa mfumo huo mbovu?Nashauri kama hamuwezi kufunga umeme ndani ya siku saba tangu mteja kulipa ni vema msichukue fedha za wateja.Huo ni utapeli na uhuni na kufanyakazi kizamani na kwa ukiritimba.Inasikitisha sana!!!!Bado muda hajafika siku 30. Siku 30 za kazi yaani unatoa jumapili na jumamosi
Tafadhali pitia mkataba wa huduma kwa wateja kuona muda sahihi wa kufungiwa umeme.upo www.tanesco.co.tzWewe unaridhika kwa utaratibu huo? Viwanda vitakwenda kweli kwa mfumo huo mbovu?Nashauri kama hamuwezi kufunga umeme ndani ya siku saba tangu mteja kulipa ni vema msichukue fedha za wateja.Huo ni utapeli na uhuni na kufanyakazi kizamani na kwa ukiritimba.Inasikitisha sana!!!!
Utaratibu wa mkataba huo mbovu upitiwe upya na kurekebishwa ili uendane na kasi ya awamu ya tano.Au mpaka mletewe wanajeshi kuja kurekebisha mikataba hiyo iliyopitwa na wakati? Mitambo ya kidato mlikuwa hamnunui na kutunza vipuri vya matengenezo ya mitambo husika hadi waziri wa nishati kuwasimamia kwa karibu na ndipo mmeweza kutekeleza hilo.Mambo ya siku 30 sijui 60 hayana nafasi katika awamu hii,badilikeni kabla hamjabadilishwa.Tafadhali pitia mkataba wa huduma kwa wateja kuona muda sahihi wa kufungiwa umeme.upo www.tanesco.co.tz
*TUNAKUMBUSHA TUNAKUMBUSHA*Najua mlishatoa ratiba ya kukata na kurudisha umeme kwenye baadhi ya maeneo ya tabata na gongo LA mbota,tatizo ni kwamba hiyo latiba imeshaisha muda wake ila kwa bahati mbaya nyinyi bado nmakati umeme tatizo ni nini mipango yetu inakwama big time wakuu..twambieni kwa uhakika mwisho Wa katakata hii ni lini?
Okay nipo wilaya ya Tarime mji wa Nyamongo na namba yangu ya simu ni 0755-922096.Ndugu mteja pole kwa usumbufu unaopata..tunaweza kupata namba yako ya simu na wilaya yako pamoja na eneo lako kwa hatua zaidi.
Po
Okay ntashukuru sana maana siku ya nne saivi hatuna umeme kisa mita ndogo ikiingizwa units hazisomi hadi fundi wa tanesco anatuambia imeshaharibika kwamba anayo nyingine anauza elfu 50.Tumepokea taarifa mpendwa mteja
Okay ntashukuru sana maana siku ya nne saivi hatuna umeme kisa mita ndogo ikiingizwa units hazisomi hadi fundi wa tanesco anatuambia imeshaharibika kwamba anayo nyingine anauza elfu 50.
Okay asante,,NotedUsikubali kutoa hio hela kwa sababu kubadilisha mita ni kazi ya shirika na ni bureee!!
Kuna post yangu bado hujanijibu mkuuUsitoe rushwa tunalifanyia kazi swala lako