Hii Kampuni ilitakiwa Ifutwe kabisa yaani wanafanya kazi kimazoea kwakuwa wapo peke yao! Hawa wangepata mshindani mwenzao wangetia akili ,waoneni TTCL wanavyopumulia mashine hakuna mtu mwenye time nao! ilitakiwa ianzishwe kampuni nyingine yenye kuzalisha na kusambaza umeme ije kupambana NAO hao WAPUUZI.
Mtu unalipia upate huduma halafu let's say ni nguzo moja au mbili mpaka nyumba yako lakini inachukua mwaka mzima ndio waje kukuwekea tena kwa kufollow up sana na kuhonga othersiwe utasikia Umeme kwenye radio!
Ningekuwa Mbunge ningepeleka hoja binafsi ya kulifutilia mbali shirika la tanesco na kuanzisha makampuni binafsi yaje kupambana!!