TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Habari,Mimi mkazi wa kata ya Nyanga Bukoba manispaa.Eneo kubwa la mtaa wetu wa nyanga zahanati hatujafikiwa na huduma umeme.Sababu kubwa ni kuwa Huu mji umeanzishwa hivi karibuni na kwa sasa una takribani nyumba 107 ambazo watu wanaishi na ujenzi bado unaendelea. Tumefanya juhudi mbalimbali za kuomba kusogezewa nguzo ikiwa ni pamoja na kuwaandikia barua Tanesco iliyosainiwa na wakazi waishio mtaani pamoja na viongozi wa serikali ya mtaa na kata mwaka 2019 tunashukuru alikuja surveyor na akapima Eneo letu na akatuambia tunatakiwa tupate transforma.Tunawaomba Tanesco Mspeed up zoezi la kutuletea nguzo na transforma nasi tupate umeme.By the way hongereni kwa kazi mzuri mnazozifanya.
Tunashukuru kwa taarifa yako tunaifanyia kazi
 
Ni miezi mingi sasa imepita niliomba kupatiwa huduma ya umeme lakini miundombinu ipo mbali kama mita 70 hv walikuja wataalamu wenu ikaonekana zinatakiwa nguzo mbili moja itashuka mahali njia ilipo na nyingine itafika eneo husika,lakini toka serikali imetangaza kuwa nguzo zinatolewa bure tumekuwa tukisubiri sana kwa kipindi kisicho na manufaa,je kwann msirudishe tu gharama ili mwananchi achangie tu maana imeshakuwa ni kero kila mara kurundikana ofcn kudai huduma na majibu ni yaleyale yasiyoridhisha,
 
Je umelipia lini

Jina

Wilaya

Simu

Tafadhali
 
Hata kulipia sijaitwa wala kupewa ujumbe kuwa natakiwa kulipia,niliambiwa huwezi kulipa kabla ya miundo mbinu kukufikia
Jina ni OSCAR MKANDYA JOHN
WILAYA BUCHOSA
MKOA MWANZA
SIMU 0768145634
 
Tanesco Arusha, Kuna tatizo la umeme Kijenge chini , Kuna mtaa hauna umeme toka jana, ni mtaa was nyuma ya kanisa Catholic, Assumption school na kanisa la Moravian... taarifa imetolewa lakini kimya.
 
Umeme unakatika kila siku. Unakata af unarudi. Mwanzoni nikafikiri ni mtaa wangu tu. Lakini nikienda chuoni hata mchana, unakata af unarudishwa tena.

Tatizo hili limeanza juzi juzi tu ambapo wanafunzi wengi wanakuwa wanakwenda kwenye makampuni mbali mbali kwa ajili ya mazoezi kwa vitendo yaani field.

Wasiwasi wangu unaanzia hapo.
 
Tanesco Kimara jana na leo umeme unakatika na kurudi mara nyingi mpaka tunaunguza vitu vyetu.
Hapa naandika umeme hakuna Kimara.
Hivi TANESCO mna nini hapa Kimara?
 
Habari,ninatumia luku mpya na leo nilinunua umeme mara mbili,wa shilingi 10000 nikapata unit 72 na wa pili shilingi 9000 nikapata unit 23.Je nifanyaje ili niweze kuwa tozo ya umeme wa matumizi ya chini ili makato yasiwe makubwa.
 
Umefanya Bonge la kosa yaani usingenunua Mara mbili ndani ya mwezi hapo ndio bye bye huwez rudi tena
 
Eneo gani haswa

Namba yako ya simu tafadhali
Kimara mwisho yote upande wa Dawasco mpaka TRA.Umeme unasumbua sana.Hivi hapa naandika hii msg its a third day in a row umeme unakatika na kurudi.Jana ndio ulikatwa moja kwa moja siku nzima.
kwa kweli tuna hali ngumu tuliowekeza kwenye hii nishati.Soon tutaawaachieni umeme wenu tufanye shughuli nyingine.Its disgusting aisee!
 
Tunashukuru kwa taarifa tunaifanyia kazi tafadhali
 
Umefanya Bonge la kosa yaani usingenunua Mara mbili ndani ya mwezi hapo ndio bye bye huwez rudi tena
Ni kweli kosa ila ninachouliza nini cha kufanya sababu jibu lako linaonesha ni kuwa hakuna cha kufanya wakati wengine niliowauliza walisema inawezekana.
 
Ukiwekwa kwenye tarifu ziro na ukafanya mistake ya kuzidisha matumizi kwa mwezi hutoweza kurudishwa tena na hiyo ndo bye bye.

Hapo dhahili kabsa imeonyesha matumizi yako sio madogo bali ni matumizi makubwa huwezi kurudishwa.
 
Nahisi utakuwa hujanielewa. Nilinunua umeme mara mbili kimakosa yaani unit 72 na unit 23 (jumla unit 95) na ni manunuzi ya kwanza kwenye mita mpya hivyo hadi sasa zimetimia siku tatu nina unit 94 (imetumika unit 1 na point kwa siku tatu) na sio kwamba nilitumia unit 72 zikaisha halafu nikanunua unit 23,hapana. Hivyo ninachotaka kufahamu (maana nahisi utaratibu huo upo) wa kuwa kwenye matumizi madogo maana hizo unit 94 naweza kutumia ndani ya miezi mitatu kama nitakuwa sahihi.

NINACHOTAKA NI KUJUA NIFANYE NINI ILI NIWE KWENYE MAKATO YA MTEJA MWENYE MATUMIZI MADOGO AMBAPO NDIO UHALISIA.
 
Je ulipopewe hiyo meter uliambiwa kwamba imewekwa kwenye matumizi madogo? Au ulipopewa na ulipojaribu kununua ndo ukapata hizo 72?

Kama ulinunua ukapewa unit 72 na uliponunua tena ukapata unit 23 hapo moja kwa moja ushaondolewa kwenye tarif ziro cha kufanya labda uende kwenye ofisi yao ukawaeleze shida iliyotokea wanaweza kukusaidia.

Ila ninavyojua ukishaondolewa kurudishwa ni mtihani mzito. Wanaweza kukwambia andika barua na unasubiri miezi sita.
 
Tanesco mbona mnabagua keep za kujibu Kuna hoja yangu hapo juu hamjaijibu kuhusu kupatiwa miundo mbinu ya umeme ni miezi mingi Sasa imepita nahitaji umeme lkn sijaitwa kulipia chochote Wala kuona miundo mbinu ya umeme ikiletwa katika eneo langu.
 
Je ulipopewe hiyo meter uliambiwa kwamba imewekwa kwenye matumizi madogo? Au ulipopewa na ulipojaribu kununua ndo ukapata hizo 72?

Kama ulinunua ukapewa unit 72 na uliponunua tena ukapata unit 23 hapo moja kwa moja ushaondolewa kwenye tarif ziro cha kufanya labda uende kwenye ofisi yao ukawaeleze shida iliyotokea wanaweza kukusaidia.

Ila ninavyojua ukishaondolewa kurudishwa ni mtihani mzito. Wanaweza kukwambia andika barua na unasubiri miezi sita.
okay nashukuru
 
Kimara Bonyokwa hakuna umeme saa 4 sasa ni ujinga mtupu ili shirika
 
Back
Top Bottom