TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Haijakamilika ndio maana tumeomba taarifa zaidi tuma hata inbox
Acha tu, haina haja. Nitawashirikisha wahusika wa mambo ya umeme kwenye taasisi ninayofanyia kazi kwa sababu nyumba ni ya serikali. halafu wao ndiyo watawa-contact nyie wakiwa na details zangu. Hata kwenye inbox nilishawahi kuwapa taarifa zangu na sikupata response. Unajua watu wengine tumezungukwa na mambo mengi sana na hivyo nilidhani labda pengine ni adhabu ya kisirisiri kwangu
 
Lengo la kutoa taarifa ni kuhudumiwa ili uhudumiwe taarifa inapaswa kuwa kamili itusaidie kuiona kwenye mfumo
 
Acha tu, haina haja. Nitawashirikisha wahusika wa mambo ya umeme kwenye taasisi ninayofanyia kazi kwa sababu nyumba ni ya serikali. halafu wao ndiyo watawa-contact nyie wakiwa na details zangu. Hata kwenye inbox nilishawahi kuwapa taarifa zangu na sikupata response. Unajua watu wengine tumezungukwa na mambo mengi sana na hivyo nilidhani labda pengine ni adhabu ya kisirisiri kwangu
IJUE NAMBA YA TAARIFA KUTOKA TANESCO

Ili kuendana na mabadiliko ya kitekinolojia TANESCO ina mfumo wa kielectronic wa kusimamia utoaji wa huduma.

Mteja anapotoa taarifa iwe ni maombi, malalamiko, madai au hitilafu taarifa zake zinaingizwa kwenye mfumo huo

Ni wajibu wetu sisi kumpatia mteja namba ya taarifa kwa kila huduma anayotolea taarifa ili kuwa na kumbukumbu sahihi za muda aliotoa taarifa na hatua zilizochukuliwa

Mfano taarifa ya hitilafu[emoji1313][emoji1313]
mteja akitoa taarifa ya
hitilafu anapatiwa namba ya taarifa yaani Technical Breakdown number ambayo ina namba maalumu kutokana na Mkoa anaopatia huduma mfano mteja wa Manyara atapatiwa mfano wa namba: MNR062019TB-000X

Mfano barua ya malalamiko[emoji1313][emoji1313] mteja anapewa namba ya lalamiko yenye mfumo

MNR062019CC-000X

Umuhimu wa namba ya taarifa

[emoji871]Ni rahisi mtoa huduma yeyote kuona taarifa kamili za mteja alizotoa na nini kimefanyika kumuhudumia

[emoji871]Ni ushahidi kuwa umetoa taarifa TANESCO.

[emoji871]Ni ushahidi kuwa taarifa zako zimeingizwa kwenye mfumo wetu

[emoji871]Inasaidia Shirika kuwa taarifa kamili ya nini kinachotolewa taarifa zaidi na wateja hivyo kuchukua hatua stahiki

Zingatia

[emoji871]Ili taarifa zako ziingizwe kwa ufasaha unaomba kutoa ushikiano kwa mtoa huduma wetu kwa kutoa taarifa kamili anazokuuliza

[emoji871]Kwa kazi ambayo imeshatangazwa mfano makatizo ya umeme hatutoi namba ya taarifa kwa kuwa inakuwa imeshatangazwa na ipo kwenye mfumo wetu

Ni haki yako kupata namba ya taarifa na ni wajibu wako kuikumbuka au kukumbuka namba ya simu uliyotolea taarifa ili kupata huduma bora

Unapopiga simu kuulizia taarifa yako tafadhali taja namba hiyo ya taarifa/namba ya simu uliyotaja wakati unatoa taarifa/jina ulilotumia nk

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Baada ya kuangalia matumizi yako una wastani wa unit 73.4 unit hivyo upo katika vigezo lkni tunakushauri usinunue zaid ya shilingi 9150 kwa mwezi
Mie mita ya kwanza ilikuwa mbovu niliwekewa tangu 2015 niliwaita wiki tatu zilizopita hatimae juzi wameniwekea mita mpya na unit 10 ila mita ya zamani ilikuwa zimebaki unit takribani 55. Hapa nina hoja 2 hapo chini;
1. Nifanyaje ili unit zangu 55 niweze kupewa na ziingizwe kwenye hii mita mpya?

2. Pia matumizi yangu kipindi chote cha miaka 5 kwa mita ile ya awali nilikuwa chini ya 75kwh ila kwa hii mita mpya wamenipa kwa utaratibu wa kawaida, je nifanyaje ili mita hii mpya niweze kuwekwa katika utaratibu ule ule?
 
Utapatiwa hizo unit na ofisi ya eneo lako
 
Tanesco,Mkoa wa Ruvuma ,wilaya ya songea,Halmashauri ya Maposeni,Mtaa wa peramiho B madukani,Tokea saa tisa mpaka saivi umeme hauna nguvu,watu tunataka tucheki game
 
Tanesco,Mkoa wa Ruvuma ,wilaya ya songea,Halmashauri ya Maposeni,Mtaa wa peramiho B madukani,Tokea saa tisa mpaka saivi umeme hauna nguvu,watu tunataka tucheki game
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka saa ngapi

Kwa hatua zaidi
 
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka saa ngapi

Kwa hatua zaidi
Acha Masihala,nimekutajia mkoa,wilaya,Halmashauri na mtaa kabisa,,Tatizo ni la mtaa mzima sio nyumba,,,wewe sijui unanipa habari gani hiyo,jaribu kuwa na weredi na kazi yako,kama unaona tabu nipatie Namba za dawati la dharula niwapigie maana hapa naona hamna msaada.Yani Muda kabisa nimetoa wewe unauliza tena tokea saa ngapi!
 
Kuhusu kudeal na vishoka nimefika tanesco kishoka akanidaka, huwa siwapendi kikaondoka na sikurudi...sipendi kupigwa

Kwani ni lazima nigongewe mhuri? Mbona mafundi wazur wengi hawana mihuri,kwann usirahishe hili suala??? 30,000 mpaka nipate suluhisho
Anayepaswa kukugongea muhuri ni mkandarasi aliyefanya wiring ya nyumba yako
 
Ahsante kwa taarifa tumeipokea
Tafadhali kiongozi naomba ufafanuzi kwa hili; Mimi natumia umeme kwa Tarrif 4, token ya kwanza nilinunua tarehe 6 June, iliyofatia 11 July.

Baadae units zilikuwa accumulated kwa hiyo kuna mwezi mzima nikavusha sikununua umeme, mwezi jana(October) nimenunua tarehe 25.

Naomba kufahamu tarehe ambayo inapaswa kuwa reference kwangu wakati wa kununua umeme ili kuepuka kurudishwa Tarrif 1, pia effect ya kuvusha mwezi bila kununua token.

Asante.
 
Endelea kununua umeme kutokana na matumizi yako
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Endelea kununua umeme kutokana na matumizi yako
Mashine ya luku imekuwa na changamoto kuweka umeme ...japo nimeweka betri mpya na kuweka zile code namba za kuifungua za 5969 8686 na namba na mita ila tokea jana imegoma kuweka token za umeme
 
Mashine ya luku imekuwa na changamoto kuweka umeme ...japo nimeweka betri mpya na kuweka zile code namba za kuifungua za 5969 8686 na namba na mita ila tokea jana imegoma kuweka token za umeme
Je umetoa taarifa ofisi za eneo lako?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom