Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu, haina haja. Nitawashirikisha wahusika wa mambo ya umeme kwenye taasisi ninayofanyia kazi kwa sababu nyumba ni ya serikali. halafu wao ndiyo watawa-contact nyie wakiwa na details zangu. Hata kwenye inbox nilishawahi kuwapa taarifa zangu na sikupata response. Unajua watu wengine tumezungukwa na mambo mengi sana na hivyo nilidhani labda pengine ni adhabu ya kisirisiri kwanguHaijakamilika ndio maana tumeomba taarifa zaidi tuma hata inbox
Lengo la kutoa taarifa ni kuhudumiwa ili uhudumiwe taarifa inapaswa kuwa kamili itusaidie kuiona kwenye mfumoAcha tu, haina haja. Nitawashirikisha wahusika wa mambo ya umeme kwenye taasisi ninayofanyia kazi kwa sababu nyumba ni ya serikali. halafu wao ndiyo watawa-contact nyie wakiwa na details zangu. Hata kwenye inbox nilishawahi kuwapa taarifa zangu na sikupata response. Unajua watu wengine tumezungukwa na mambo mengi sana na hivyo nilidhani labda pengine ni adhabu ya kisirisiri kwangu
IJUE NAMBA YA TAARIFA KUTOKA TANESCOAcha tu, haina haja. Nitawashirikisha wahusika wa mambo ya umeme kwenye taasisi ninayofanyia kazi kwa sababu nyumba ni ya serikali. halafu wao ndiyo watawa-contact nyie wakiwa na details zangu. Hata kwenye inbox nilishawahi kuwapa taarifa zangu na sikupata response. Unajua watu wengine tumezungukwa na mambo mengi sana na hivyo nilidhani labda pengine ni adhabu ya kisirisiri kwangu
Mie mita ya kwanza ilikuwa mbovu niliwekewa tangu 2015 niliwaita wiki tatu zilizopita hatimae juzi wameniwekea mita mpya na unit 10 ila mita ya zamani ilikuwa zimebaki unit takribani 55. Hapa nina hoja 2 hapo chini;Baada ya kuangalia matumizi yako una wastani wa unit 73.4 unit hivyo upo katika vigezo lkni tunakushauri usinunue zaid ya shilingi 9150 kwa mwezi
Utapatiwa hizo unit na ofisi ya eneo lakoMie mita ya kwanza ilikuwa mbovu niliwekewa tangu 2015 niliwaita wiki tatu zilizopita hatimae juzi wameniwekea mita mpya na unit 10 ila mita ya zamani ilikuwa zimebaki unit takribani 55. Hapa nina hoja 2 hapo chini;
1. Nifanyaje ili unit zangu 55 niweze kupewa na ziingizwe kwenye hii mita mpya?
2. Pia matumizi yangu kipindi chote cha miaka 5 kwa mita ile ya awali nilikuwa chini ya 75kwh ila kwa hii mita mpya wamenipa kwa utaratibu wa kawaida, je nifanyaje ili mita hii mpya niweze kuwekwa katika utaratibu ule ule?
Tafadhali onyeshaTanesco,Mkoa wa Ruvuma ,wilaya ya songea,Halmashauri ya Maposeni,Mtaa wa peramiho B madukani,Tokea saa tisa mpaka saivi umeme hauna nguvu,watu tunataka tucheki game
Acha Masihala,nimekutajia mkoa,wilaya,Halmashauri na mtaa kabisa,,Tatizo ni la mtaa mzima sio nyumba,,,wewe sijui unanipa habari gani hiyo,jaribu kuwa na weredi na kazi yako,kama unaona tabu nipatie Namba za dawati la dharula niwapigie maana hapa naona hamna msaada.Yani Muda kabisa nimetoa wewe unauliza tena tokea saa ngapi!Tafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka saa ngapi
Kwa hatua zaidi
Anayepaswa kukugongea muhuri ni mkandarasi aliyefanya wiring ya nyumba yakoKuhusu kudeal na vishoka nimefika tanesco kishoka akanidaka, huwa siwapendi kikaondoka na sikurudi...sipendi kupigwa
Kwani ni lazima nigongewe mhuri? Mbona mafundi wazur wengi hawana mihuri,kwann usirahishe hili suala??? 30,000 mpaka nipate suluhisho
Tafadhali kiongozi naomba ufafanuzi kwa hili; Mimi natumia umeme kwa Tarrif 4, token ya kwanza nilinunua tarehe 6 June, iliyofatia 11 July.Ahsante kwa taarifa tumeipokea
Endelea kununua umeme kutokana na matumizi yakoTafadhali kiongozi naomba ufafanuzi kwa hili; Mimi natumia umeme kwa Tarrif 4, token ya kwanza nilinunua tarehe 6 June, iliyofatia 11 July.
Baadae units zilikuwa accumulated kwa hiyo kuna mwezi mzima nikavusha sikununua umeme, mwezi jana(October) nimenunua tarehe 25.
Naomba kufahamu tarehe ambayo inapaswa kuwa reference kwangu wakati wa kununua umeme ili kuepuka kurudishwa Tarrif 1, pia effect ya kuvusha mwezi bila kununua token.
Asante.
Mashine ya luku imekuwa na changamoto kuweka umeme ...japo nimeweka betri mpya na kuweka zile code namba za kuifungua za 5969 8686 na namba na mita ila tokea jana imegoma kuweka token za umemeEndelea kununua umeme kutokana na matumizi yako
Je umetoa taarifa ofisi za eneo lako?Mashine ya luku imekuwa na changamoto kuweka umeme ...japo nimeweka betri mpya na kuweka zile code namba za kuifungua za 5969 8686 na namba na mita ila tokea jana imegoma kuweka token za umeme
Nimetoa na kupewa na kupewa namba ya utambulisho 2878 ila tokea jana badoJe umetoa taarifa ofisi za eneo lako?