luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo yalifanyika december 2021Je umelipia lini? Uliandika namba ya simu ipi kwenye fomu yako wakati unaomba umeme?
Hii si ni namba yenu ya huduma kwa Wateja HQ0748550000
Naomba ya Mkoa wa pwani !Hii ni namba ya Huduma kwa Wateja Makao Makuu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mbagara ni nusu pori nusu mjini wacha wakate tu....ngedere nao wanahitaji giza...
We Ndugu Tanesco kwani hujui namna ya kuhariri bandiko lako? Si ungehariri tu bila kujinukuu mwenyewe…Umepimiwa
Miaka karibu 50 toka shirika lianzishwe wameshindwa tatua tatizoNi shirika pekee la kutoa huduma ya nishati ya umeme kisheria ndani ya JMT.Shirika hili kiasi fulani kwa upande wangu naoma linajitahidi sana kwa kutoa huduma japo malalamiko kamwe hayawezi kuisha kwani sehemu ya yoyote ile ya kutoa huduma,TANESCO ina changamoto zake, kwa hiyo tuzivumilie tu japo hazitaisha lakini zitapungua sana tu. Ni kweli serikali yetu chini ya jemedari wetu mkuu mheshimiwa SSH inapambana sana kuisadia TANESCO na mashirika mengine ya serikali ili yaweze kutoa huduma kwa watanzania wote.
Changamoto zilizopo kwenye mashirika na idara nyinginezo za serikali ni nyingi sana japo serikali inajitahidi sana tena sana kuzitatua lakini hii ya TANESCO inaonekana ni kubwa sana kwani matokeo yake yanaonekana hata kwa mtoto mdogo.Tatizo kubwa kwa TANESCO yetu ni uchakavu mkubwa wa miundo mbinu ambao husabisha upotevu mkubwa wa umeme pindi unapo zalishwa,kusafirishwa hadi kumfikia mlaji wa mwisho ambaye ni mtumiaji yaani mimi na wewe pamoja na uhujumu mkubwa wa miundo mbinu kama vile wizi wa umeme unaofanywa na baadhi yetu sisi watanzani.
Kwa hiyo tuwe wavumilivu sana tu naamini ipo siku TANESCO YETU ITASIMAMA VIZURI,KWANI SERIKALI YETU SIKIVU INALIFANYIA KAZI JAPO ITACHUKUA MUDA KWANI KAPU KUU LINAJITAHIDI SANA KUHUDUMIA SHUGHULI NYINGI SANA ZA SERIKALI IKIWEMO TANESCO YETU NA KUMBUKA PIA SERIKALI YOYOTE ILE DUNIANI INAENDESHWA NA KODI.EWE MTANZANIA LIPA KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU
Naona mnaruka jibuni hapa kwanzaHabari tanesco niliomba kubadilisha tarrif kwa ofisi ya kisarawe na ofisi iliyohamishiwa chanika naambiwa itabadilishwa lakini mpaka wa leo naona hola
Namba ya mita 24219382546 jina Andrea donati mkazi wa nyeburu buyuni
Naombeni msaada wenu maana vigezo ninavyo