Naomba kujulishwa ni lini mtashughulikia ombi hili.Ndugu Mteja
Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
0748550000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujulishwa ni lini mtashughulikia ombi hili.Ndugu Mteja
Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
0748550000
ndugu mteja, asante sna kwa pongeziHongereni kwa kuweka mazingira wezeshi ya kuwasilisha kero na maoni ama ushauri wetu. Nependa kuwapa kero iliyokithiri ya kuwekewa nguzo tu miaka takribani mitatu bila nyaya mpaka wa leo. Eneo husika ni (Nkilizya viunga vya Nansio Ukerewe mkoani Mwanza). Hadi watu wanadhani kwa kuwa kwa wakubwa (Mkuu wa wilaya, Msekwa n.k) umeme upo wengine mnaona wakae tu wakifarijika kwa kuzitazama nguzo. Shule zote ( nkilizya sec + primary) hazina umeme ni nguzo tu bila nyaya miaka yote hiyo. Hili tatizo limezidi kuwa kero kwa watu wakati ni rahisi tu huduma hii ya nyaya kusambazwa.
MREJESHONdugu Mteja
Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
0748550000
Panga hoja yako vizuri hasa mwishoni.HABARI za kazi ndugu watendakazi wa Tanesco specifically wa Dodoma na Kongwa , nina haja ya kujulishwa hili . Nimefanya application ya kuwekewa umeme pale kwetu kijiji cha Mlali Iyegu na ombi langu kupewa namb 2907220636 , nikiambiwa kuwa Mkandarasi aliyesajiliwa atafika aweke taarifa za wirering na kuwasilisha TANESCO. Mkandarasi alikamilisha taarifa na kuziwasi
Watu tumelipia Mita tayari lakin umeme wamefungiwa watu wawili tu eneo zima mwezi wa pili sasa, mkipigiwa simu mnatupiana mpira tu shida nn nyie😡
Shida yako inafanana na yangu.HABARI za kazi ndugu watendakazi wa Tanesco specifically wa Dodoma na Kongwa , nina haja ya kujulishwa hili . Nimefanya application ya kuwekewa umeme pale kwetu kijiji cha Mlali Iyegu na ombi langu kupewa namb 2907220636 , nikiambiwa kuwa Mkandarasi aliyesajiliwa atafika aweke taarifa za wirering na kuwasilisha TANESCO. Mkandarasi alikamilisha taarifa na kuziwasi
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhaliShida yako inafanana na yangu.
Mimi nimefanya application ya kuwekewa umeme kupitia Namba ya kumbukumbu ya malipo 991033634676
Na nimeshalipia ile hela yao .
Wiring na chuma cha kupokelea umeme vipo tayari ila huyo fundi wa kuja kuweka mita hajafika hii wiki sasa.
Nyumba ipo kwamtoro ,wilaya ya chemba.
TANESCO dodoma wana shida.
Ukipiga simu hii 0789844078 ya TANESCO CHEMBA wanakupiga sound hatari.
Sasa sijajua wanataka wapewe hela ndo waje kufunga mita.
Hili shirika zuri ila lina watendaji wa ajabu sana huku chini.
Hamuangazi maisha ya watu bali mnawaingiza watu gizani.......nimetoa taarifa kwenu tangu tarehe 6/7/2022 namba ya taarifa ni hii 256648,halafu uje hapa uniambie hayo maisha mnayoangaza ni maisha ya watu wa wapi,Nikonekt Sasa unaweza kupata huduma za TANESCO kupitia Nikonekt APP, Nikonek.tanesco.co.tz au USSD kwa kubofya *152*00# , Nikonekt kilichobora zaidi kutoka TANESCO. Kwa maelezo zaidi tupigie 0748550000
TANESCO Tunayaangaza maisha yako
Ndugu MtejaHABARI za kazi ndugu watendakazi wa Tanesco specifically wa Dodoma na Kongwa , nina haja ya kujulishwa hili . Nimefanya application ya kuwekewa umeme pale kwetu kijiji cha Mlali Iyegu na ombi langu kupewa namb 2907220636 , nikiambiwa kuwa Mkandarasi aliyesajiliwa atafika aweke taarifa za wirering na kuwasilisha TANESCO. Mkandarasi alikamilisha taarifa na kuziwasi
Hello!! Umeme kwangu umekata tangu asubuhi lakini kwa majirani upo unawaka. Kwenye remote inanionesha ki emoji che hasira na alama za switch ziko parallel.Ndugu Mteja
Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
0748550000
Ndugu mteja,Hello!! Umeme kwangu umekata tangu asubuhi lakini kwa majirani upo unawaka. Kwenye remote inanionesha ki emoji che hasira na alama za switch ziko parallel. Nimepiga simu nimeambiwa mafundi watakuja lakini hofu yangu ni kukosa pesa leo.
Shida yangu ni swala la umeme KUKATIKA na kuwaka kila dakika Moja hasa hasa kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku, cha ajabu kwa majirani zangu umeme unawaka mda wote tena ambao wamefungiwa umeme mbele yangu, kama ni shida ya hizi MITA mpya iweje mteja ambae amefungiwa umeme miezi sita baada yangu kwake umeme usikatike na kwangu ukaitke wakati nategemea mita zetu zitakuwa sawa?Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;
1. ENEO HUSIKA
(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)
2. NAMBA YA SIMU
(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)
3. KARIBU NA NINI
(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)
4. JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO
(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)
5. MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI
(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)
6. KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME
(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)
7. KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI
(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)
TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.
ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;
LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO
Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani
Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO
Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu
HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA
Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219
Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330
Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461
Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098
Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361
Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386
Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110
Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779
Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8
Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590
Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090
Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330
Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061
Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672
Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180
Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728
Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2
Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133
Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868
Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120
Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668
Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200
IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makauu.
NAMBA ZA SIMU ZA MADAWATI YA DHARURA YA TANESCO MIKOA YOTE
1. Ilala
0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.
2.Kinondoni Kusini (Magomeni)
0784271461/ 0715271461
3. Kinondoni Kasikazini(Mikocheni)
0784 768584/ 0716 768584
4. Temeke
0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720
5. Pwani
078 5122020/065 7108782/023 2402386
6. Mbeya
0759 777781/0787 023422
7.Arusha
0758174343/
0622612501/
+255 27 2506110
8.Tanga
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779
9. Kilimanjaro
0765 397 925/0682 771 310/ (+255) 272 755 007/8
10 Manyara
0689 795 599/ 0627938951
11. Mwanza
0759 777 786/0687 910 202/
(+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090
12. Geita
0744 085 696/(+255) 28 2520330
13.Kagera
078 5 787 898 / 075 3 120 701/(+255) 282 220 061
14.Mara
0788 950 688/
028 262 2020/
0762 165 087
15.Simiyu
+255 282 700 180/0626383440/0745044072
16. Dodoma
0782 161 643/(+255) 262 321 728
17. Morogoro
068 4889272 /065 4829046/ (+255) 232 613 501/2
18 Singida
071 4 477 445 /0732 960 924 / 0689 373 757/(+255) 262 502 133
19. Tabora
0786 558 510 /0763 162 868
20. Shinyanga
0754 521 070/(+255) 28 2762120 /
0783 521 070
21. Kigoma
078 3720598/(+255) 2988226
22. Katavi
0688345200
23. Rukwa
0252161120/0768879813
24. Songwe
0684 611716/0763 430381.
25. Ruvuma
0252602281/0763 194 979/0787 758 986
26. Njombe
0744703988
27. Mtwara:
0789 999942/023 2333902
28. Iringa 0262702019/0739203015
29. Lindi
0752518247/0685692786
Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu
0768 985 100/0222194400
www.facebook.com/tanescoyetu
www.twitter.com/tanescoyetu
Tovuti
www.tanesco.co.tz
Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu