TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Je wlioko ndani ya manispaa au mijini hawawezi pata unit 8 kwa 1000/=?
Soma Tanesco Tarrif Order ya Mwaka 2016 mbona imeeleza so clear, waliopo in Rural areas tu ndio wapo qualified kwa huduma hiyo. (Read attachment)
Screenshot_20220616-114234_Drive.jpg
 
Tanesco mkoa wa MARA kuna urasimu mwingi unaendelea na mkitafutwa hamtoi ushirikiano unaohitajika. Nimefanya wiring tangu mwezi wa sita mwaka jana nimefuatilia napigwa danadana, watendaji wa chini wanataka nitoe rushwa ili zoezi liwe jepesi. Kiukweli hili shirika lina changamoto moto sana kwenye urasimu.

Natumai baada ya ujumbe huu mtabadilika na nitapata ushirikiano kutoka kwenu.
 
Tanesco mkoa wa MARA kuna urasimu mwingi unaendelea na mkitafutwa hamtoi ushirikiano unaohitajika.Nimefanya wiring tangu mwezi wa sita mwaka jana nimefuatilia napigwa danadana ,watendaji wa chini wanataka nitoe rushwa ili zoezi liwe jepesi.Kiukweli hili shirika lina changamoto moto sana kwenye urasimu.Natumai baada ya ujumbe huu mtabadilika na nitapata ushirikiano kutoka kwenu.
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
 
JINA:ROZA MSWAGA NGINIRA.
WILAYA:MUSOMA
TATIZO:NIMEOMBA KUUNGANISHIWA UMEME TOKA MWEZI WA SITA MWAKA JANA WAKATI MRADI WA REA UPO KIJIJINI KWANGU LAKINI MPAKA LEO SIJAPATA UMEME.NIMEAMBIWA NIOMBE UPYA KUPITIA I KONEKT LAKINI GHARAMA YA KUINGIZIWA UMEME ITAKUWA LAKI SITA KWA SABABU MRADI UMESHARUDI TANESCO.NAOMBA NIPEWE HUDUMA KWA GHARAMA YA 27000 YA AWALI KWA SABABU SI KOSA LANGU BALI NI URASIMU MIONGONI MWA WATUMISHI WENU.
SIMU:0687529101,0733564132
NAMBA YA TAARIFA:U250822195517
 
Je Naweza kupata Huduma ya Separation kwa Mita kwenye Nyumba?Utaratibu ukoje na Gharama zake?
 
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000
-Kwa niaba ya wakazi wa Mwanalugali (kiwanja cha hisia Kali), tunashukuru Menejiment ya TANESCO Makao Makuu na TANESCO Mkoa wa Pwani,hususani Meneja wa TANESCO Kibaha.
-Siku moja baada ya idara ya huduma kwa wateja Makao Makuu kupokea taarifa yetu na kuahidi kuifanyia kazi , utekelezaji wake tumeuona.
-Tunatoa shukrani kwa Management ya TANESCO Kibaha kwa kutuma mafundi kuja kutandaza nyaya kwenye nguzo tisa ambazo,zilisimikwa tarehe 13July2022.
-Wananchi wa Mwanalugali (kiwanja cha hisia Kali) tunashukuru kwa kusikia kilio chetu cha muda mrefu.
Lakini, Mradi wa Mwanalugali (kiwanja cha hisia Kali) ,ulikuwa unahitaji nguzo 15
- lakini kwa kuwa tarehe 30.06.2022 wakati wa kufunga mwaka Shirika lilikuwa na nguzo chache site, Mradi huu ulipatiwa nguzo 9 kwa kuanzia.
-Wakazi wa Mwanalugali (kiwanja cha hisia Kali) tunaomba Management ya TANESCO kumalizia nguzo 6 zilizosalia.
-Vifaa vingine vilibaki,labda kama vilihamishwa kupelekwa site nyingine.
-itapendeza kama nguzo zilizosalia zitaletwa na kujengwa,
- Mwezi September 2022 wakazi wa Mwanalugali tuje kulipia service line ya shs320,960.
-Kwa mara nyingine tena, wakazi wa Mwanalugali tunashukuru Management ya TANESCO kwa huduma nzuri. Mwenyezi Mungu awabariki.

Ombi
1). Tunaomba Manejiment ya TANESCO Makao Makuu, Mkoa wa Pwani na Kibaha kuleta nguzo zilizosalia tunaamini,hili lipo chini ya uwezo Regional Manager Kibaha
2). Menejiment ya TANESCO Kibaha,wapitie michoro ya mradi huu wa Mwanalugali (kiwanja cha hisia Kali).
3). Regional Manager Pwani, kama suala letu, lipo nje ya uwezo wako,tufikishie kwenye Mamlaka husika,

NB: Projects has always the time frame to finish.it is high time this project is brought to an end.
 
Habari!!? Nimejisajili na huduma ya online form! Nimefika mpaka mwisho lakin mwisho kabsa wamenitumia namba na wameandika niwasiliane na mkandarasi so sielewi hii namba nikishampa inakuaje na huyo mkandarasi namtoa wapi!!?
 
JINA:ROZA MSWAGA NGINIRA.
WILAYA:MUSOMA
TATIZO:NIMEOMBA KUUNGANISHIWA UMEME TOKA MWEZI WA SITA MWAKA JANA WAKATI MRADI WA REA UPO KIJIJINI KWANGU LAKINI MPAKA LEO SIJAPATA UMEME.NIMEAMBIWA NIOMBE UPYA KUPITIA I KONEKT LAKINI GHARAMA YA KUINGIZIWA UMEME ITAKUWA LAKI SITA KWA SABABU MRADI UMESHARUDI TANESCO.NAOMBA NIPEWE HUDUMA KWA GHARAMA YA 27000 YA AWALI KWA SABABU SI KOSA LANGU BALI NI URASIMU MIONGONI MWA WATUMISHI WENU.
SIMU:0687529101,0733564132
NAMBA YA TAARIFA:U250822195517
Hiii ngumu kumeza! Hata Mimi nilianza TU upya kulipa upya nikamsamehe Ile 27000!
Nakutakia mafanikio kwenye hilo
 
TANESCO TANESCO

Kilimanjaro Wilaya ya rombo kuna shida gani mbona
Mnatufanyia hivi wateja wenu

Nmelipia kuunganishiwa umeme tangu tarehe 25 mwez wa Tatu mwaka 2022 Lakin cha ajabu mpaka Leo
Umeme cjaunganishiwa jaman

Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Rombo office ya tarakea tanesco
Jina : Aristidis S Shirima
Namba +255745140560
 
TANESCO TANESCO

Kilimanjaro Wilaya ya rombo kuna shida gani mbona
Mnatufanyia hivi wateja wenu

Nmelipia kuunganishiwa umeme tangu tarehe 25 mwez wa Tatu mwaka 2022 Lakin cha ajabu mpaka Leo
Umeme cjaunganishiwa jaman

Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Rombo office ya tarakea tanesco
Jina : Aristidis S Shirima
Namba +255745140560
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000
 
Hiii ngumu kumeza! Hata Mimi nilianza TU upya kulipa upya nikamsamehe Ile 27000!
Nakutakia mafanikio kwenye hilo
hili shirika la umma lina urasimu kuliko shirika lingine lolote,yani we ni mteja lakini kupewa huduma mpaka utoe rushwa na kuwabembeleza sana .Inasikitisha sana
 
hili shirika la umma lina urasimu kuliko shirika lingine lolote,yani we ni mteja lakini kupewa huduma mpaka utoe rushwa na kuwabembeleza sana .Inasikitisha sana
ndugu mteja,
pole sana kwa usumbufu uliopata, tusaidie kupata taarifa zako zaidi kwa ajili ya ufuatiliaji.
 
nimewatumia taarifa zote muhimu,mpaka sasa hakuna lolote lililofanyika .Pengine mpaka niwasiliane na MAHARAGE CHANDE
ndugu mteja,
pole sana kwa usumbufu uliopata, tusaidie kupata taarifa zako zaidi kwa ajili ya ufuatiliaji.
 
Tenesco inakuwaje mtu apitishe waya za umeme kwenye kiwanja cha mtu bila ridhaa yake, na kisha tanesco kumbebesha mwenye kiwanja mzigo wa gharama za kuamisha huo wanya wa umeme hii haiko sawa.
 
nimewatumia taarifa zote muhimu,mpaka sasa hakuna lolote lililofanyika .Pengine mpaka niwasiliane na MAHARAGE CHANDE
Tafadhali onesha taarifa ulizotuma na tatizo hata PM kwa hatua zaidi
 
Siku hizi mbona mnakata tu umeme jamani kama leo kutwa nzima daa!
 
Back
Top Bottom