TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Muda huu Dsm karibia yote haina umeme

Makamba anafahamu au ndo yale mambo yake ya kutengeneza matatizo ya umeme ili apewe fedha za ukarabati na matengenezo yasokwisha?

Taifa la hovyo kweli hili
Nipo kimara upo

USSR
 
Back
Top Bottom