Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ni uzembe hadi hawajakata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uzembe hadi hawajakata
Post ya SONGA umeileta hukuUchunguzi wa haraka unaitajika maana haiwezekani week nzima umeme haujakatika, niwatakie jumapili njema🤣😁😁
Uchunguzi wa haraka unaitajika maana haiwezekani week nzima umeme haujakatika, niwatakie jumapili njema
Na huku Songea TFC madizini tangu nihamie umeme hujakatika kabisaa sijui tatizo ni nini ?Uchunguzi wa haraka unaitajika maana haiwezekani week nzima umeme haujakatika, niwatakie jumapili njema🤣😁😁
Kabisa sio kwa uzembe huu adi wananchi wananufaikaKulwa atumbuliwe
Mwenyewe kajiongeza[emoji23][emoji23]Mjomba angu ameshalipia nguzo ipo ila kwenye kumuunganishia imekua shida, Wakati Kuna jirani yake kalipia Mbele yake baada ya siku moja kaunganishiwa fasta kuweni Fair.
Ukijibiwa unidai jeroNimenunua umeme kupitia tigo pesa...
Tokea saa 8 na dakika 10
Leo tar 20 .12 2023
Sijapewa token
Miter no ..24219180114
Teh! 😄😄Moderator ufuteni huu uzi wa TANESCO hauna maana yoyote. Shirika lililofeli.
Week 2 unalalamika na uko seriously kabisa?? Na waliokaa mwaka jMnachukua mda gani mpaka mje kufunga Umeme kwa MTEJA haiwezekani hela ya mteja ikae week mbili kwenu huduma hajapata
Hiyo hela angefanya Jambo lingnevsi angepata faida hata sent 100