Registering
Member
- Apr 15, 2018
- 11
- 4
Shukran. Mafundi wamefika na wamerudisha umeme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekusikia mkuu, tutalifanyia kazi. Ni baadhi ya wakurugenzi wetu wakijaribu kuwathibitishia wake zao kuwa wako kazini kwa kukata kata umemeTANESCO mlidai mnafanya marekebisho na kuongeza umeme kwenye grid hata hivyo tangu Hilo lifanyike mmekuwa mkikata umeme kwa muda mwingi zaidi... Arusha njiro umeme unaonekana kama ni upendeleo Fulani hivi... Jirani anaweza kuwa na umeme nyumba nyingine Giza...Hebu muwe wazi ... Shida ni Nini? Mnalazimisha watu kununua hayo majenereta au ??
Mnavyotufanyia uku Mbeya Mungu anawaona line ya Chunya hivi nampigia spika Tulia labda yeye awaambieasante mkuu
Mimi mwenyewe nlishawahi kuwaza hivyo ...Kwamba kuwe hata na Kampuny Shindani ya Umeme sio TANESCO peke yao ...kwasababu hawana sifa ya kukidhi mahitaji ya kitaifa.Hivi kwani hatuwezi kupata umeme sehemu nyingine zaidi ya Tanesco?
Huwa nawaza hawa wapuuzi huwa wanajisikiaje wakiona haya malalamiko inawezekana wamejibanza maofisini kwao wanasoma hizi nyuzi huku wakiangua vicheko na kugonganisha mikono kabisa, shenzii kabisa.Huu uzi unatia hasira sana hata kuuona tu hapa jukwaani. Mods wauondoe tu hauna manufaa yoyote.