Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Mvua kila kona lakini umeme nao ni shida,shida ni nini?..sisi Watanganyika ni nini tunachoweza?Hali ya umeme imezidi kuwa mbaya huku mvua zikizidi kuongezeka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvua kila kona lakini umeme nao ni shida,shida ni nini?..sisi Watanganyika ni nini tunachoweza?Hali ya umeme imezidi kuwa mbaya huku mvua zikizidi kuongezeka!
Hawa jamaa ni nyumbu kabisaGiza tupu. Tanesco mlaaniwe mpigwe na shoti ya umeme wenu
Kigoma1. MWANZA hakuna umeme
2. Moshi Kilimanjaro hakuna umeme
3. Geita , Katoro hakuna umeme
4.
5.
Haina mwanga wakutoshaTumieni sola
Arusha jiji,wilaya ya Arusha kati
Mimi siipendi kabsaa .Haina mwanga wakutosha
Hapana ni kijiji ,kilimanjaro nikasoko cha nyanyaArusha jiji
Ni hatari gani iyo unaingolea Mkuu ?Hiyo ni mitambo, ina sense hatari na kujizima, ulitaka ibaki inawaka ili ilipuke?
Daaah shangaa ww kiongoziHawa jamaa ni nyumbu kabisa
Hapa nilipo tangu saa 12 asubuhi hadi muda huu saa 2usiku hatuna umeme
Yaani badala ya Rais kuingilia kati hili tatizo ameamua akakate keki ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake.