TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Msaada tanesco sisi wakazi wa kinondoni msisirib hatuna umeme tangu jana usiku wa saa7 mpaka muda huu haujarudi
 
TANESCO kama kweli mnajali wananchi TUPENI MREJESHO kwanini MNAKATA UMEME NA KUWASHA ZAIDI YA MARA 5 MPK 6 KWA SIKU KTK ENEO MOJA?

Kipi Hasa NI TATIZO?

Mkikata masala kadhaa tunaimani kuna kitu mnatengeneza.
Lkn KATA WASHA KATA WASHA KATA WASHA .

HII BALAA MNATUUNGUZIA VITU KILA SIKU
TUNAOMBA UFAFANUZI tujue WHY???
 
Bora muendelee kukata umeme kuliko kukata maisha ya watu Wa rufiji.

Ni ushauri tu wajameni...
 
Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090
Umeme kama Tanesco wange mpa kila mtu (Kaya)umeme bila gharama za nguzo Tanzania,Tanesco ingekuwa inaingiza mabilioni ya fedha kutokana na token na Selikali wizara ya,ardhi ingepata kodi ya kila ardhi inayomilkiwa kwa matumizi ya Maya,Kuaanda,biashara nk.
 
Tanesco hapa dsm zimeni mmalize kutengeneza hii zima washable mtaatuua
 
TANESCO kama kweli mnajali wananchi TUPENI MREJESHO kwanini MNAKATA UMEME NA KUWASHA ZAIDI YA MARA 5 MPK 6 KWA SIKU KTK ENEO MOJA?

Kipi Hasa NI TATIZO?

Mkikata masala kadhaa tunaimani kuna kitu mnatengeneza.
Lkn KATA WASHA KATA WASHA KATA WASHA .

HII BALAA MNATUUNGUZIA VITU KILA SIKU
TUNAOMBA UFAFANUZI tujue WHY???
Upo upande gani mkuu
 
Mmakata na Kuwasha..yan kila mara khaaa.... mtaunguza katv kangu ka mchina...hasa uku nyasa
 
Mmakata na Kuwasha..yan kila mara khaaa.... mtaunguza katv kangu ka mchina...hasa uku nyasa
Screenshot_20240426_223304_Chrome.jpg
Nyasa unamaanisha huko rukwa
 
Back
Top Bottom