Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kuna ndugu yangu anafanya kazi TANESCO anasema kuna mtambo mbovu wa umeme ndo unasababisha mgao wa umeme na hii ni sehemu kubwa ya Tanzania.Kwa siku kadhaa sasa, umeme umekuwa kikwazo kwa wakazi wa jiji la Mwanza. Sina hakika kama mamlaka zimetoa taarifa kwa uma. Kipindi cha nyuma tunaambiwa kabisa umeme hautakuwepo maeneo kadhaa kwa mda flani na kwa sababu flani.