TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mkuu, unahitaji stand alone renewable energy system kama solar system hasa kwa huko nyumbani. Inapunguza adha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, unahitaji stand alone renewable energy system kama solar system hasa kwa huko nyumbani. Inapunguza adha.
Kuna vitu huwezi endesha kwa umeme wa solarMkuu, unahitaji stand alone renewable energy system kama solar system hasa kwa huko nyumbani. Inapunguza adha.
kuna jamaa kawasha generator juzi likamuunguzia kila kituHawa wanatutia sana hasara, watatuozeshea friji zetu
Mkuu unakiwanda cha kufyatua nondo nyumbani, nini mkuu? Ha hahahaa!Kuna vitu huwezi endesha kwa umeme wa solar
Shida inapungua kidogo sana
Mgawo upo kwenu tu
Ngoja waje watujibu mkuuMgawo upo kwenu tu
Waje nawasubiri yani maisha haya yanafurahisha sana kuna watu mnalalamika shida ya umeme wengine shida ni maji umeme kwetu ni 24/7Ngoja waje watujibu mkuu
Hata kifaduro hakipo hiviSiasa mbaya sana[emoji1][emoji116]View attachment 1716761
Idiot.Haya mamiradi ndio yanapelekea umeme kua pungufu, sijui kwnn tunatesana hivi?