@TANESCO kuna mteja wenu huku kawaita.
 
Habari wadau!

Tanesco nimeamua kuwaita mara tatu kama wapo na wanapita humu JF wasome hizi comment za wananzengo maana naona kama wanaturudisha enzi za zama za mawe.

Umeme siku hizi umekuwa unakatika mara kwa mara pasipo kupewa taarifa rasmi zamani mlikuwa mnapita mpaka na magari mnatutangazia lakini sasa mnakata tu yaani kila ukiamka unakuta washakata.

Ukirudi ukijaribu kununua they are not reachable yaani hauwezi nunua kabisa Luku.

Daah hii sio fare kwa kweli, tukionge tunaonekana waropokaji.
 
Hili ni tatizo tangu Jana ukinunua umeme laini ya voda,Airtel na tigo zinagoma kama nitatizo liko Tanesco wanapaswa watujulishe
 
Mpuuzi sana wewe...kuwa UVCCM kusikufanye usiwe na akili ..pumbavu sana wewe
 
Hizi njama za Sukuma Gang!
Mama anafutia wanyonge kesi, za kubambikiwa.
Waziri atuombe radhi! Ajiuzulu!

Maigizo ya Majaliwa ya kujipa promo na ziara bandarini, ilitakiwa sasa ndiyo atuonyeshe anatatua hili.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hahahah bongo wahuni wengi kwahy mkuu hutoi hata mia
Kuna jamaa yeye nahisi kwa mwezi takuwa anaekaga umeme wa buku 2 tu, na ana ma ac zaidi ya mawili.

Alichokifanya amechukua zile nyaya kama wanazotumia watu kubustia betri ya gari ikizingua alafu ameenda kuunganisha pale kwenye chuma kinachopokela nyaya za tanesco alafu amezipeleka hadi ndani kwake. [emoji23][emoji23][emoji23]

Nina uhakika ac na mafriji yake yanatumia umeme wa bureee
 
Kama mwizi mzoefu anaweka sacket breaker nyingine,ndy anatumia

Ova
 
Kama mwizi mzoefu anaweka sacket breaker nyingine,ndy anatumia

Ova
Nahisi hata yule kafanya hivyo,

Ila nahisi ni mtu wa kitengo huko selikalini maana anajiamini sana.

Kingine ili ufanikishe hili na uwe salama lazima nyumba yako iwe na fence na usiruhusu watu wasiohusika kuingia hovyo hovyo kwenye geti lako.
 
Dah.. mkuu unatuvua nguo hapa umefungua code kabisa hebu futa hii kitu tafadhali 😀🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…