Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

Tanga na Kahama wapi kunastahili kuwa Jiji?

Moshi Vijijini sio Mjini na hao watu wako kwenye Vijiji na Vimji vidogo vidogo so sio mfano sahihi wa kujitetea.
 
Kumbe unatetea wakwe na siyo hoja, Tanga kuna bandari, misitu, matunda, mkonge n.k, pia tangu ukoloni Tanga ilikuwepo, nataka utaje wazawa matajiri wa Tanga tofauti na waarabu+ wahindi
 
Mkuu twende kwenye hali za wananchi acha na mbwembwe za kupanga miji, hata Karatu imepangiza vizuri sn, mji(makao makuu ya Mkoa) gani Tanzania maji ni ya shida? Moshi maji mpk vijijini n.k hali za kiuchumi za wananchi wa Tanga zikoje?
 
Wewe ndiye umeelezea vizuri uhalisia kwani wengine hata historia hawajui na wanatoa comment za chuki tu
 
Muulize akutajie vigezo vya kuwa jiji kama atarudi tena, watu wamejawa na chuki na kutoa kauli za jumla jumla bilakufanya tafiti
 
Waambie waambie hao wakuja
 
Akuna Nchi au Mkoa unaoamini sana ushirikina ukawa na mafanikio, Tanga uchawi unauzwa hadi gulioni,Sasa hapo unategemea nini,Sehemu kama hizo labda haende mgeni ndio anaweza fanikiwa,lakini napo usijichanganye na wenyeji. No
Wacha uongo soko gani umekuta wanauza uchawi?
 
Mkuu jamaa wanauchukulia poa mkoa wetu!
 
Tungekuwa na utawala wa majimbo Tanga ingekuwa mbali sana. Mwalimu Nyerere ndiye aliidogosha Tanga tena kwa makusudi kabisa .
 
Mikoa ya kanda ya ziwa kama Kagera,Geita,Mwanza,Mara n.k ina kila kitu na pia watu wake Mwenyezi-Mungu alitubariki huwa tuna akili-kubwa.Hii mikoa ikiacha kuhujumiwa na serikali,itauzidi hata mkoa wa Dar es Salaam. Kitu pekee ambacho Dar es Salaam wanaizidi mikoa ya kanda ya ziwa ni bandari tu na ujinga ujinga mwingi wa watu wa pwani kama wazaramo.
 
Unajua kuna aina fulani ya ujinga ambao huwezi kuutibu hata kwa elimu, na wewe rafiki yangu unaonesha dalili zake zote. Unaposema eti “watu wa Pwani ni wavivu” unadhihirisha ujinga wa kihistoria ulioletwa na mkoloni na kupewa watu wa bara kama zawadi ya upumbavu wa kizazi. Umefundishwa kushabikia propaganda ya mkoloni bila hata kujua historia ya nchi yako.

Watu wa Pwani walikuwa na biashara na dunia nzima wakati bado watu wa bara wanahesabu ng’ombe na kugombania ardhi ya kulima mihogo. Waarabu, Waajemi, Wahindi na hata Wazungu walikuwa wakija Pwani kufanya biashara kwa sababu watu wa Pwani walikuwa na akili ya biashara na sio akili ya kubeba mawe kwenye mashamba ya Wajerumani.

Mkoloni alipokuja, aliwatafuta wajinga wa kufanyia kazi mashamba yake akakutana na watu wa bara, wenye nguvu lakini wasiokuwa na ujanja wa maisha, akawapa jembe na kuwafanya manamba. Watu wa Pwani waliona hiyo ni kazi ya kijinga, wakaendelea na biashara zao, wakaendelea na uelewa wao wa dunia, wakaendelea kuchanganyika na tamaduni za kimataifa, huku bara mkiendelea kufundishwa nidhamu ya fimbo na kuabudu kila mgeni mweupe.

Na leo hii, baada ya miongo mingi ya ujinga, mtu kama wewe bado anadhani uvivu ni kutofanya kazi za shamba za Wajerumani? Na unataka kujifanya mko na akili kubwa kwa sababu mlitumika kama nguvukazi ya mkoloni? Hebu kaeni nayo huko hiyo akili kubwa yenu, lakini msijaribu tena kuzungumzia Pwani kama hamna akili ya kuelewa historia. Watu wa Pwani ni wajanja, sio wajinga wa kubebeshwa jembe na kuambiwa ni heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…