Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

Haiwezekani watu wote nchini kutegemea kilimo,lazima kuwe na distribution ya kuwajibika.Wakati wengine wanawajibika kwenye kilimo, wengine waende kuwajibika kwenye sekta zingine. Imagine mkoa wa Geita huwa unaingia kwenye top five kuchangia katika pato la taifa lakini wananchi wa Geita ni maskini. Maana yake ni kwamba serikali iliwahujumu rasilimali zao za asili zisiwanufaishe wao ili ziwanufaishe wengine.
 
Mwanza nikati ya mikoa maskini Tanzania . Hivyo inaonesha hufuatiliii takwimu unaropoka tu
 
Sasa mbona unasema watu wa pwani wavivu? Wao hawalimi?
 
Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Hakuna Mkoa usiokuwa na "kila kitu" nchi hii na hakuna Mkoa wenye "kila kitu".
Sikiliza:
1. Reserves (hifadhi) ya rasilimali haiwezi kukuza uchumi wala kuleta maendeleo. Ni lazima hiyo reserve ibadilishwa kuwa bidhaa inayoweza kutumiwa(tradable or consumables).
Mkoa wa Tanga wanafeli kwenye hilo eneo hasa kwa ngazi ya mtu wa chini.
Pili: Tanga inakumbwa sana na brain/labour flight. Vijana wake wengi wanakimbilia Dar na ndio maana unaona tumiji twingi twa Tanga tunaonekana kama Old Towns. Nyumba za zamani, mitaa ya zamani.
 
Mikoa ya Mbeya na Arusha ni mikoa ambayo watu wanahamia na hivyo kupata nguvu mpya katika uchumi wake. Arusha inazidi kuimarisha uchumi wake wa huduma(service) kuliko kutegemea extractive and agriculture.
 
Tanga kweli Ni nzuri
 
Kwa nini vijana wanakimbilia Dar?
Tanga haina kila kitu ila ina vitu muhimu kwaukuaji wa uchumi,ardhi nzuri,mito,bahari,nk
 
Uko sahihi ila tanga nusu ipo kaskazini,Lushoto,korogwe,kilindi, nusu ipo pwani,tanga muheza,oangani,handeni,shida iko hapo,makai makuu yamkoa yangekuwa lushoto mkoa ungekuwa mbali,hata kitabia watu walushoto ni wapambanaji kuliko tanga mjini
Lushoto wageni wapo wengi sana ndiyo maana hata maisha ya lushoto yapo juu kama Dar tu
 
Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Tatizo ni waislamu kawaida waislamu uwa matajiri kwa njia za ufisadi ...na ufisadi una sifa moja ya kudidimiza malaki ya watu na kuinua makumi ya watu
 
Well said.
 
Tatizo ni waislamu kawaida waislamu uwa matajiri kwa njia za ufisadi ...na ufisadi una sifa moja ya kudidimiza malaki ya watu na kuinua makumi ya watu
Huu ugomvi mpya unaleta sasa mkuu, mimi simo.
 
Huu ugomvi mpya unaleta sasa mkuu, mimi simo.
Ni ukweli mtakatifu awawezi kuja kupinga tazama tabia za matajiri wa kiislamu tz utagundua kwanini maeneo yao yanakuwa masikini ....tajiri muislamu kuuza nchi kwa beberu kifisadi ni bora kwake kuliko kuona nchi ikinufaisha taifa zima...
 
Mwanza nikati ya mikoa maskini Tanzania . Hivyo inaonesha hufuatiliii takwimu unaropoka tu
Mi nakuekea Takwimu, naomba Na wewe weka hizo Takwimu zako zinazoonesha umasikini wa Mwanza.

 
Mkuu twende kwenye hali za wananchi acha na mbwembwe za kupanga miji, hata Karatu imepangiza vizuri sn, mji(makao makuu ya Mkoa) gani Tanzania maji ni ya shida? Moshi maji mpk vijijini n.k hali za kiuchumi za wananchi wa Tanga zikoje?
Nishakupa link zote mbili Tanga ipo top 5 ya Mikoa inayochangia Pato la Taifa ikipakana na mtu wa nne yaani Arusha, imepitwa na Mbeya, Mwanza na Dar tu. Kama hali ni mbaya kwanini wanalipa sana Tra na pato ni kubwa?

Hayo matrilioni ya hela yanatoka wapi?

Tatizo lenu hamtaki kutumia data na mna chukua nafasi zenu zinazo penda kama source of data matokeo yake kila mkifungua midomo ni pumba tu.
 
Tanga na Kahama wapi kunastahili kuwa Jiji?

Moshi Vijijini sio Mjini na hao watu wako kwenye Vijiji na Vimji vidogo vidogo so sio mfano sahihi wa kujitetea.
Kwa vigezo gani? Vigezo vya jiji nimekuwekea hapo juu.

1. Kahama ina fiber, 5G na Internet ya uhakika manispaa nzima?

2. Wana sanitation ya uhakika ama wanachimba chimba tu mashimo ya vyoo?

3. Uchumi wao ni non Agriculture ama ukitoka tu nje kidogo ya mji mashamba kibao?

4. Kuna utilities na service za kutosha? Maji, umeme, zima moto etc
 
Mkuu, hali za wananchi wa Mkoa wa Tanga zipoje ukilinganisha na mikoa kama Mwanza, Dar, Kilimanjaro, Arusha na Mbeya? Tanga imejaa wahidi na waarabu wazawa wapo hoi
 
Mkuu, hali za wananchi wa Mkoa wa Tanga zipoje ukilinganisha na mikoa kama Mwanza, Dar, Kilimanjaro, Arusha na Mbeya? Tanga imejaa wahidi na waarabu wazawa wapo hoi
Nakupa indicator moja ya ujinga na umasikini Nchi hii nayo ni Utapiamlo,


Mikoa yote ya pwani na Kaskazini tatizo la Utapiamlo ni dogo

Hao wenye udumavu kwa kukosa chakula ndio wana hali ngumu.

Tanga Familia masikini ina access ya samaki, chapati, Wali, mihogo, ugali, mboga spices mbalimbali etc,

Ukisoma Maslow hierarchy needs kitu cha kwanza mwana damu anachotaka ni physiological needs, Maji, Chakula na malazi, vitu ambavyo vyote Tanga ipo ranked juu, kuanzia Makazi ya Bei rahisi ambayo kila mtu anaweza afford, vyakula vya bei rahisi na maji ya uhakika.

Baada ya hapo ni safety needs, kuishi kwa amani, kutoogopa kudhuriwa etc Tanga hatupigani mapanga huku na hata mambo ya ujambazi ujambazi nadra sana,

Baada ya hapo ni love and belonging, sina haja ya kuelezea zaidi pengine ushasikia Tanga ndio mapenzi yalipozaliwa, sio tu mapenzi kwa maana ya ngono bali ni watu kupendana, kukiwa na misiba, harusi, shughuli mbalimbali etc watu wanasaidiana, ikitokea mtu wa Tanga kafanya Vizuri it doesn't matter ni CCM, Chadema, Muisilamu, Mkristo, mweupe, mweusi utaona watu wana pa support.
 
Mkuu kwamba sisi tujika Tanga hatuoni nyumba zenu barabarani au tunapita angani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…