NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,974
- 1,210
Mfano Lindi , Sumbawanga , Mpanda..Ni sahihi, pia kuna miji imepewa kuwa manispaa lakini mmh!
Mfano Lindi , Sumbawanga , Mpanda..Ni sahihi, pia kuna miji imepewa kuwa manispaa lakini mmh!
Acha utaniUkiishi dar kila mkoa utakapokwenda utawaona wenyeji ni washamba. Hebu nenda zenji mdau tanga inasubiri yani.
Mzee babaHivi ushamba maana yake ni hasa.Na ni nani mwenye dhamana au mamlaka ya ku-decide kwamba huyu ni mshamba na huyu sio and using what criteria.Na hizo criteria ni nani kaziweka.Je kama hiyo criteria sio sahihi,they are only meant to mislead,which is infact the case.
Ni makosa kudhani kwamba gorofa ni maendeleo na kwamba eti mji mkubwa ndio maendeleo.Laiti mngejua hidden agenda iliyoyoko kwenye urbanization na majumba marefu msingeona ni maendeleo.
Nimalizie kwa kusema wewe unayeona majumba marefu na miji mikubwa ndio maendeleo ndio mshamba,you have been misled.Laiti ungejua anayeishi kwenye nyumba ya matope na majani is healthier, kuliko wewe unayebugia masumu yaliyoko kwenye marangi,matiles,magypsum,mabati ya kisasa nk.kwenye hiyo nyumba yako unayoiita eti ya kisasa, kumbe ndio mauti yako! Pole.
Mwambie huyo atakua kaishia hale kanunua machungwa then akageuzamkuu tafuta mwenyeji akutafutie mtoto wa kitanga alafu uje kuanzisha uzi hapa
hiyo namba moja si kweli,idadi ya watu katika jiji la Tanga haijafika hata laki 5,na kiujumla kwa Tz nzima ni jiji la Dar pekee ndo lina wakazi zaidi ya 2M,majiji mengine yote yana wakazi chini ya 1M.Kuna sababu kadhaa zinazopelekea mji kuitwa jiji ,nitazitaja baadhi
1)Idadi ya watu inapokua kubwa angalau million2
2)fursa za biashara
3)miundo mbinu mizuri ya usafiri kama vile barabara na reli n.k
4)fursa za kielimu
5)ukuaji wa viwanda n.k
6)huduma za kibank na kiuchumi
Pamoja na upatikanaji wa huduma za kijamii. Hizi ni baadhi tu ya sifa ya mji kupanda hadhi na kuitwa jiji na kutokana na sifa hizi Tanga imekidhi vigezo vya kuitwa jiji.
Mkuu takwimu za sensa ya mwaka 2012hiyo namba moja si kweli,idadi ya watu katika jiji la Tanga haijafika hata laki 5,na kiujumla kwa Tz nzima ni jiji la Dar pekee ndo lina wakazi zaidi ya 2M,majiji mengine yote yana wakazi chini ya 1M.
Hiyo ni lugha ya kuombea misaada na kuandika maproposal.
Kama ni maskini hivyo mbona wanejaa huku na hawaondoki?
Ukerewe ni Wilaya au unaongelea ukerewe ya nchi gani?Kwani kuchangamka kwa watu ni sifa ya kuwa jiji? Kisiwa cha ukerewe ( ukara )watu wamechangamka sana lkn hata wilaya hawajapewa
Nilikuwa Tanga miezi ilopita. Ukweli ule mji nimeupenda, hauna fujo Halafu umepangiliwa na umepangilika. nitaenda tena tuTown center ya Tanga ni bora kuliko mkoa wowote hapa nchini iko kama ile miji ya Europe. Huko msambweni na makorora achana nako.Angalia ofisi ya Rc na mitaa jirani kama raskazone na jirani na hapo ilivyopangwa kwa ufundi mkubwa
Ukiishi dar kila mkoa utakapokwenda utawaona wenyeji ni washamba. Hebu nenda zenji mdau tanga inasubiri yani.
Jiji lolote walikostarabika utasubiri mataa. Hata kama upo mwenyeweπππ
Hata kama yupo mwenyewe. Atasubiri mataaa. Nimecheka sana.
Ni kweli. Ukipewa maelekezo hupotei kwa palivyopangikaWanasema ni miongoni mwa miji yenye mipangilio mzuri wa makazi na miundominu, mimi sijawahi kufika lakini.