Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

Sikuwahi aminisha mtu nyungu ni dawa ya corona mkuu.

Ndo jina tulilobatiza utamaduni wetu wa kuabudu kuita ushirikina, ila nakwambia yana nguvu kama huamini waambie hapo wajenge bila kutambika uone.
Ni upuuzi wa kudharau professionalism na kuamini mambo ya mambo ya giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…