Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
matambiko ni muhimu na mimi nayahusudu kupitia mizimu ya wazee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni upuuzi wa kudharau professionalism na kuamini mambo ya mambo ya gizaSikuwahi aminisha mtu nyungu ni dawa ya corona mkuu.
Ndo jina tulilobatiza utamaduni wetu wa kuabudu kuita ushirikina, ila nakwambia yana nguvu kama huamini waambie hapo wajenge bila kutambika uone.
OhoooWazigua na ushirikina utawaambia nini,wawape tu hiyo hela vinginevyo hapo itakuwa kama machinjioni kila siku ajali.
Serikali kama yenyewe haiamini uchawi, ila walio wengi ndani ya serikali huamini uchawiKwa maana hiyo kuanzia sasa serikali inaamini kwenye uchawi?
Lbda wakukate we na mzee wako mgaya bwashehHizo milioni 21 serikali itoe kwenye tozo!
Professionalism ipo, ila kuna baadhi ya mambo lazima yawe considered kibongo bongoNi upuuzi wa kudharau professionalism na kuamini mambo ya mambo ya giza
Hahahaaaa...... Ulipoingia tu hapa Jf umeshakatwa tayari!Lbda wakukate we na mzee wako mgaya bwasheh
Ova
Akina Mandondo Jr!Wazigua na ushirikina utawaambia nini,wawape tu hiyo hela vinginevyo hapo itakuwa kama machinjioni kila siku ajali.
hali itabadilka soon wakikunja mtonyo wao wanaowapiga serikali kwa mazingaombwe.Watu wenyewe walivyochoka..Mungu awasamehe tu.
Wakusini walikatalia Gesi isitoke,na bado ikatoka na kipigo juu walipewa!!Wazigua na ushirikina utawaambia nini,wawape tu hiyo hela vinginevyo hapo itakuwa kama machinjioni kila siku ajali.
Waarabu wanatambika sana mkuuMatambiko yana nguvu sana, ila wazungu na waarabu wametufanya tuone ni ushetani.
kwani mkuu wa jadi anasemaje kuhusu hiliNdio maana kuna wakati tunasema hakuna demokrasia kwa mpumbavu, ona sasa watu wanakosa barabara eti kisa tambiko na mizimu..
Aisee HahahaHahahaaaa...... Ulipoingia tu hapa Jf umeshakatwa tayari!