Wazee watata sana wanataka Chao πππTuheshimu Mila na Desturi zetu,Pesa makaratasi tu.
Hao wazee wapewe fedha ili Watambike mboda Desturi za kigeni huwa tunazishadadia
Wanasema walishakaa kikao wakapiga hesabu za gharama sioni sababu ya kuwacheleweshea mpunga wao.πWazee watata sana wanataka Chao πππ
Ova
Wanaita shirk hao waarabukwani mkuu wa jadi anasemaje kuhusu hili
π€£π€£Wanasema walishakaa kikao wakapiga hesabu za gharama sioni sababu ya kuwacheleweshea mpunga wao.π
Wamezungukana,si unajua washua wenyewe wanawajua makonki wote.Wakusini walikatalia Gesi isitoke,na bado ikatoka na kipigo juu walipewa!!
π π π πAfu mnasema serikali haiamini uchawi
SureMatambiko yana nguvu sana, ila wazungu na waarabu wametufanya tuone ni ushetani.
mimi ni mtoa taarifa tuUna amini mambo Hayo ?
Hivi unajua huyo unayemtetea ndio ametuachia tambiko la mwenge na linalotufanya Watanzania tumekuwa kama lile bunge la ndugai huku tukijifariji ni nchi ya utulivu na amani huku wenye mamlaka wakitufanya wanavyotaka.Tukianza kubow kwa pressure hizi za kimila tumekwisha. Nchi haitakiwi kuwa na imani za kishirikina hata siku moja. Sijaona kwenye Katiba serikali ikilazimishwa kulipia mitambiko ya kimila. Namkumbuka Nyerere sana baba wetu wa Taifa, nchi imeingia chaka la hatari. Nyerere akifufuka itamlazimu arudi tu alikotoka kwani hawezi vumilia huu upuuzi.
Halafu wote hao Ni waislamu na msikitini wanaenda .Ni aibu kwa uislamu.Sheikh mkuu wa Bakwata nenda haraka kaongee na hao watu wako matambiko na uislamu wapi na wapi? ummy mwalimu waziri wa Tamisemi Zigo lako Hilo watanga wenzio Tena waislamu wenzio na waislamu wenzie na Mama Samia wanataka milioni 21 za tambiko barabara ipite.Mwambie mama Samia muislamu mwenzao awapeHapo bila tambiko hapajengeki hiyo barabara