Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Jamaa zake watamuheshimuWe huna heshima kwa Chifu Hangaya eenh??kuna kitu natafuta.HESHIMU MACHIFU!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa zake watamuheshimuWe huna heshima kwa Chifu Hangaya eenh??kuna kitu natafuta.HESHIMU MACHIFU!
😬😬Wazigua na ushirikina utawaambia nini,wawape tu hiyo hela vinginevyo hapo itakuwa kama machinjioni kila siku ajali.
Hii nchi tunaelekea pabaya sana aisee.
Tunafikia hatua ya kuamini mambo ya kishirikina hadi kutumia mamilioni ya wananchi kuyapeleka milima korelo?
Wewe acha kujipendekeza sio Mzigua,Wazigua tunaijua pesa kabla wewe huna dalili ya kuja DunianiHalafu mimi nimeshangaa hawa wazigua wenzangu wameanza kuijua hela kuanzia lini?
Maana hata ukienda kuoa kule mahali huwa ni sawa na bure!
Ukienda kuaguliwa bei sawa na bure!
Sasa hilo dau la ma milioni chungu nzima hayo tangu lini?!
Lini wameanza kuijua hela hawa wagosingwa?
Ndo hapo sasaalafu wao ndio mabingwa, dadadeq
Ndo umeamishwa hivyo na umekubali kuamini mkuu, siwezi kukubadili imani yako.Hiyo ni elimu pana sana kwenye maandiko matakatifu. Kwa kifupi, ni Malaika waliohasi na wako busy kututoa kwenye mstari wa kumuelekea Mungu wetu.
Na labda tunaweza tusiwe na uelewa wa kutosha kuhusu viumbe hivyo na tulivyonanyo kwenye maisha yetu ya kila siku lakini vipo. Na sio kwa Waafrika tu bali Duniani kote. Na kweli vina uwezo na hao Mababu wa Matambiko wanalijua hilo vizuri.
Hatahivyo suala la kuwafuata ama kuwategemea ni uamuzi wa binadamu.
Na ndio kurahisisha mambo Amri ya kwanza Mungu inatuambia tusiabudu “miungu” wengine.
Uwe na siku njema.Ndo umeamishwa hivyo na umekubali kuamini mkuu, siwezi kukubadili imani yako.
Ila kwangu mimi matambiko si mapepo yalikuwepo toka enzi na enzi. Huyo mkuu wa wilaya si mjinga kunegotiate na hao wazee, lazima watakuwa wamejaribu wameshindwa.
Nimeshuhudia visa kadhaa kwenye ujenzi kugoma maeneo ya matambiko.
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee.
Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya kuomba punguzo zinaendelea.
Habari kamili hii hapa
Tunaanza kuweka mambo ambayo baadae yanaweza kuleta matatizo katika kutoa maamuzi. Ukishakubali hayo matambiko yafanyike huko, huoni sasa matambiko mengi tu yatatokea sehemu nyingine za nchi? Je, katika Sheria ya Manunuzi tambiko linakadiriwaje? Hivi CAG atahakiki vipi gharama za hii kitu na kutoa thamani ya fedha kwa kazi ya tambiko lililofanyika?Yaani watu wanacheleweshewa maendeleo eti kisa tambiko....sasa hayo matambiko yao yangekuwa na maana sitayari wangukuwa na barabara zao wenyewe tangu zama za kale...hayo matambiko na mizimu ingekuwa na msaada wote hao wazee wasingekuwa wamechoka hivyo na kuvaa manguo yamechanika.....DC acha story na hao watu peleka watu waanze kazi tena ikiwezekana peleka JWTZ kabisa hapo wajenge hiyo barabara... kila tukikwama tembezeni kipigo..
Hivyi Mbunge na mawaziri kutoka Tanga wameshindwa kuwaelimisha Hawa wachawi? Au na wao wanajipatia chochote Kama ulivyosema.Hao wanaotaka mamilioni kwa ajili ya tambiko ni wahuni na wahujumu uchumi.
Walete break down ya hayo mamilioni tuone
Isije kuwa kuna asilimia kadhaa za viongozi wa serikali waliopanga huo mchongo wa kudai mamilioni ya tambiko.
Waambieni hao wazee barabara inajengwa kwa faida yao na watoto wao waache ungese.
[emoji38][emoji38][emoji38]Tunaanza kuweka mambo ambayo baadae yanaweza kuleta matatizo katika kutoa maamuzi. Ukishakubali hayo matambiko yafanyike huko, huoni sasa matambiko mengi tu yatatokea sehemu nyingine za nchi? Je, katika Sheria ya Manunuzi tambiko linakadiriwaje? Hivi CAG atahakiki vipi gharama za hii kitu na kutoa thamani ya fedha kwa kazi ya tambiko lililofanyika?
Tena alikuwa akizungumza live kwenye tv na alitoa hiyo story jinsi walivyokwenda kuwaona wazee yeye na marehemu Mfugale.Ndo nasikia kwako.
Sio wakina Bashiru waziteme zile walizokopa bila utaratibu?Hizo milioni 21 serikali itoe kwenye tozo!
Kabla uhafunguka safari kwa Msisi tafuta mwenyewe akuandalie mapito yako la sivyo cha moto utakiona.Watu huko wazushi kichizi
Ova
Aione The Big ShowWakusini walikatalia Gesi isitoke,na bado ikatoka na kipigo juu walipewa!!