Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hakuna sehemu ambapo pesa haipewi kipaumbele, ndio maana kila kukicha watumishi wanalia lia wapandishiwe mishahara.Kwa hakika pesa imefanywa kipaumbele kwenye vituo vya huduma za kijamii. Yaani badala ya kuwa na roho ya utu na ubinadamu watu wanatanguliza maslahi. Kwa hakika wote waliohusika katika hili nafsi ya huyo mama itawatesa mpaka wanaondoka duniani.
Hakuna cha dharau hapo, kila mmoja atimize majukumu yake.Mwogope Mungu, usilete dharau msibani
Unaweza kumuacha mtu afe kisa pesa na una uwezo wa kuokoa uhai wake?Hakuna sehemu ambapo pesa haipewi kipaumbele, ndio maana kila kukicha watumishi wanalia lia wapandishiwe mishahara.
Tuje kwako, unaweza kufanya kazi bure kisa tu huruma?
Halafu baadaye mzigo wa deni ubakie kwako?Unaweza kumuacha mtu afe kisa pesa na una uwezo wa kuokoa uhai wake?
Baada ya mtu huyo kufa ukiwa unamuangalia unakuwa umeingiza kiasi gani ?Halafu baadaye mzigo wa deni ubakie kwako?
Wewe unaweza kufanya kazi bure bila ya malipo?Baada ya mtu huyo kufa ukiwa unamuangalia unakuwa umeingiza kiasi gani ?
Nyie kwenye fields zenu huwa mnatoa huduma bure kisa huruma?Huyo ni mmoja aliyekufa kwa kusoma huduma sababu ya kipato ila wapo wengi sana wanaokufa sababu kama hizo.
Ukitaka kujua hospitali zetu zina mifumo ya hovyo umwa serious
Jamani maskini wenzangu tuzichunge sana afya zetu maana zikitetereka kidogo tu tumeenda na maji.
Ilinde afya yako kwa gharama yoyote.
Haya ni maelezo ya mtu aliyeshiba, au mtoto au hajawahi kukumbwa na majanga.Ujauzito sio Dharura, Huyo mjamzito alikua ana Miezi 9 ya kujiandaa kifedha.
Mkuu uko serious kweli? Hosp sio shughulini watu mkajazane, na pia mama mtoto hakuwa na shida yoyote zaidi ya kucheleweshewa kupatiwa huduma.Wote wachukuliwe hatua akiwemo na mwanaume aliyemtia mimba na nduguze huyo mwanaume wakamatwe.kwa kutia mimba.na kutowajibika hata kutoonekana tu hapo hospitalini wanaachia mama mkwe anahangaika peke yake
Si wataonga tu mambo yaishe. Nchi yangu imekumbwa na laana gani? Watu hawana hata huruma.Pesa yote hiyo mbona sijawahi ona ikitozwa popote?
Serikali mtendeeeni Haki huyu mtu Kwa kuwawajibisha waliosababisha haya mauaji japo maisha yake hayatarudi tena.
R.I.P
Mara nyingi nimefanya kazi pesa ilifata badae. Kuna baadhi ya kada kama hii ya uuguzi huduma inapaswa itangulie pale inapobidiWewe unaweza kufanya kazi bila kupewa pesa?
Gharama za matibabu Tanzania ni ghali mno na sishangai kusikia hivi maana hospital ni biashara TU kama biashara zingine hapa nchiniHilo linawezekana pasi na shaka.
Huko ni kwa Mheshimiwa waziri wa afya, ngoja tusikie atasema nini.