Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

Hospital zingine had 280k kwenye operation ya uzazi. Afu ni za serikali sasa.

Poleee kwa muhanga na mfiwa, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Makonda ni nani katika nchi hii mpaka atumie rasilimali zote hizi wakati watoto wetu wanakaa chini mashuleni!!
20231114_132236.jpg
Na akina mama wajawazito wanakufa huko Handeni kwa kukosa huduma?
 
Na akifariki, mwili hautoki Hadi ndugu walipe pesa ya mwisho!!

Maiti inadaiwa!!
 
Ni Bure Sana sana ni vifaa labda kama ni private ,Serikalini najua ni Bure na sijawahi sikia kulipia
Buree? Juzi tu shemeji yangu kajifungua Kwa operation hospital ya serikali jumla ya gharama ilikuwa128,000.labda kama pesa yote hiyo ni ya vifaa. Za kuambiwa changanya na zako. Wanasiasa wa afrika waongo waongo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunalipia mkuu Hadi kuzaa kawaida sikuhizi ni pesa ,sikuhizi kuanzia klinik Hadi kujifingua.
Hii serikali ya maokoto hadi kwenye huduma muhimu za kuokoa uhai wa watu, halafu utamsikia mpina akilalamika wajanja kufisadi trilioni 30 ikiwa ni pamoja na kutoa tender ya kipande cha SGR kwa single source huku gharama ikiongezeka kwa bilioni 3 kwa kilometer.​
 
Back
Top Bottom