pmm7
Member
- Sep 28, 2022
- 76
- 72
Kwanini wasimfanyie operation then wamdai !? Yaani utaacha mtu afe kisa laki na nusu!??
hawana mamlaka ya kutoa mkopo wa mali za serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wasimfanyie operation then wamdai !? Yaani utaacha mtu afe kisa laki na nusu!??
Wewe hauna tofauti na hao waliosababisha kifo Cha mama na mtotoUjauzito sio Dharura, Huyo mjamzito alikua ana Miezi 9 ya kujiandaa kifedha.
Hakuna hospitali ya umma ambayo mjamzito anaweza akapewa CS bure lazima ulipe lasivyo uwe na bimaNi Bure Sana sana ni vifaa labda kama ni private ,Serikalini najua ni Bure na sijawahi sikia kulipia
ndugu yangu hakuna bureNi Bure Sana sana ni vifaa labda kama ni private ,Serikalini najua ni Bure na sijawahi sikia kulipia
Mkuu,mimi nipo idara ya Afya..Serikali inasema Mama atajifungua bure bila malipo..lakini kiuhalisia huku makazini hivyo vifaa vya bure havipo..hivyo kila mgonjwa anaye paswa kufanyiwa operation ya kutoa mtoto anaandikiwa vifaa vinavyo hitajika akanunue dukani.,kama mtu akikosa hiyo pesa ya kununua vifaa ni makosa ya nani?Ni huzuni sana jamani yani sasahivi watu hawaangalii utu kabisa!
Si wangemsaidia kama wanavosaidia wengine jamani Nimeumia sana!
Mkuu,mimi nipo idara ya Afya..Serikali inasema Mama atajifungua bure bila malipo..lakini kiuhalisia huku makazini hivyo vifaa vya bure havipo..hivyo kila mgonjwa anaye paswa kufanyiwa operation ya kutoa mtoto anaandikiwa vifaa vinavyo hitajika akanunue dukani.,kama mtu akikosa hiyo pesa ya kununua vifaa ni makosa ya nani?Ni Bure Sana sana ni vifaa labda kama ni private ,Serikalini najua ni Bure na sijawahi sikia kulipia
Okayhawana mamlaka ya kutoa mkopo wa mali za serikali
Ninajua sana unachosema mkuu sema watanzania wengi vichwa vyao vigumu sana yaani picha na porojo wanazopewa na wanasiasa wanadhani ndo uhalisia ulivyo mambo kweny field ni tofauti sana ,Mkuu,mimi nipo idara ya Afya..Serikali inasema Mama atajifungua bure bila malipo..lakini kiuhalisia huku makazini hivyo vifaa vya bure havipo..hivyo kila mgonjwa anaye paswa kufanyiwa operation ya kutoa mtoto anaandikiwa vifaa vinavyo hitajika akanunue dukani.,kama mtu akikosa hiyo pesa ya kununua vifaa ni makosa ya nani?
Je mnataka watoa huduma wafanyaje?? Watoe pesa zao mifukoni??
Achaneni na siasa za CCM
Operation hospital za serikali siku hzi unalipia sehemu nyingine 240,000. ila hawajamtendea Haki.
Nani afunguliwe mashitaka kwanza kwa muongozo upi na sheria zipi au mnadhani ni rahisi tu , ndo uje ukute kituo kilikuwa hakina NS wala gloves wala dawa ya usingizi na dawa nyingine yaani kila kitu ukute ni OS halafu tuone kati ya walipo juuu na hawa wadogo Nan anatakiwa kwenda jelaNa kuwafungulia mashitaka ya kuua kwa kusudia
Wahuni ni Serikali ya CCM na sera zake mbovu, tunawajua madaktari na manesi pia team nzima ya hospital inaweza kuwa na watu Bora na wazuri tu ila mazingira, vifaaa na pia miundombinu ikafanya watu waonekane hawafai ama ni wazembe kumbe uzembe uko juuu na pia kwenye ngazi ya utoaji maamuziOyaaa , C-SECTION ni Bure .
Kwa uchache tu labda aambiwe kununua baadhi ya Dawa na vifaa tiba na ambayo haifiki hata Elfu Hamsini.
Tena , Ikiwa Mama Hana hata mia mfukon, ni lazima Apate huduma, ni LAZIMA, kwamba Kituo hiko Cha Afya kilikoswa Dawa na Vifaa tiba mpaka Marehem huyo aambiwe mpaka atoe Laki na hamsini??.
Uzembe ulofanywa na hao Wahuni wasojua wajibu wao ni lazima Tuupinge , MWANAMKE HATAKIWI KUFA KWA SABABU YA MIMBA AU COMPLICATIONS ZA MIMBA.
Mkuu,mimi nipo idara ya Afya..Serikali inasema Mama atajifungua bure bila malipo..lakini kiuhalisia huku makazini hivyo vifaa vya bure havipo..hivyo kila mgonjwa anaye paswa kufanyiwa operation ya kutoa mtoto anaandikiwa vifaa vinavyo hitajika akanunue dukani.,kama mtu akikosa hiyo pesa ya kununua vifaa ni makosa ya nani?
Je mnataka watoa huduma wafanyaje?? Watoe pesa zao mifukoni??
Achaneni na siasa za hawa MACCM
Tatizo lenu mnaendekeza siasa za CCM. Naomba nkueleweshe mkuu.Na vifaa vya kufanyia operation hakuna mpaka mtu anakufa?
Nchi inaendeshwa kisiasa sana.
Yani halafu sijui kwa nini watu wanashindwa kuelewa kwamba watoa huduma za afya ni waajiriwa kama waajiriwa wengine, yani linapokuja suala la mambo ya afya naona watoa huduma za afya wakikandamizwa sana wakati makosa yanaanzia huko juu.
Tatizo lenu mnaendekeza siasa za CCM. Naomba nkueleweshe mkuu.
Ili Cesarean section ifanyike utahitaji vitu vifuatavyo.
1.Madripu ya Maji (Utaandikiwa Idadi)
2.Nyuzi za kushonea (Utaandikiwa Idadi)
3.Gauze
4. Mipira ya kuvaa mikononi
5.Surgical Blade.
Hivyo ni baadhi tu.
Hivyo basi kwa kuwa hizo bidhaa hutolewa bure vituoni,huwa havikidhi mahitaji..mzigo unaweza kuja leo kutoka MSD ambao ukakidhi kwa akina mama watano tu kwa mwezi,hao wengine wakija automatically mzigo umeisha. Hivyo ili afanyiwe Cesarean section anaandikiwa aende dukani akanunue ili afanyiwe. Maana huwezi kufanya bila hivyo vifaa.
Ndo maana nimekuuliza,unataka mtoa huduma afanyaje? Je watoe pesa zao mifukoni?
Serikali yenu inawalaghai kuwa vifaa vipo mahospitalini na nyie mnaamini.lakini kiuhalisia mahitaji hayatoshelezi. Vifaa vinavyo letwa na MSD ni vichache ukilinganisha na mahitaji husika.. na isitoshe hutumika bure hivyo vichache pale vinapo kuja.