MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hii dunia haikuwahi kuwa fair
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii dunia haikuwahi kuwa fair
Ni kabisa mkuu watu wanahukumiwa kwa makosa yasiyi yaoHii dunia haikuwahi kuwa fair
Hilo halina ushahidi. Watu wakiwa wanakusisitiza udharura wa jambo unaweza dhani wanakutukana.Ndio wamtukane sasa huyo Mama?
Ujauzito sio Dharura, Huyo mjamzito alikua ana Miezi 9 ya kujiandaa kifedha.
Dah wife tena, yeye ana bima ya afya. Nimemsikia DC akiongea macho makavu kabisa.Oooh haya peleka mkeo bure uone
Hawa vijana hawajui maisha huko maporini, mtu anakosa hata hela ya kibaba cha mafuta, yaani hela ni mpaka tena msimu wa mazao. We Angalia hata vibanda wanavyoishi.Mkuu acha kulinganisha maisha Yako na wengine mkuu ,familia zingine kupata hata Hiyo laki Hadi ukoo mzima ukae vikao zaidi ya vitatu .
Kumdai hio pesa baada ya kujifungua kulikuwa na tatizo gani?Watoa huduma ya afya wapo sahihi.
Hivi kuna sehemu unaweza kwenda ukahudumiwa bure? .
Wahudumu wa afya ili wapate pesa ni lazima wewe uumwe utoe pesa utibiwe ndipo nao wapate pesa.
Heshimuni kazi za watu acheni kuwakandamiza.
Taratibu zipo acha roho ya kifedhuli mzee. Ingekuwa dada yako anakufa kwa kukosa laki na nusu ungefurahia hilo?Halafu baadaye mzigo wa deni ubakie kwako?
Washenzi hao, mimi nina ndugu yangu alikufa akiwa mdogo sana on his teens alikuwa na pumu ya kubana mapafu ile unapiga sindano yanaachia.Kwanini wasimfanyie operation then wamdai !? Yaani utaacha mtu afe kisa laki na nusu!??
Mkuu kuwa na hekima sasa, hapo kuna msiba na wameachwa watoto bila mama, mbona Emotional quotent EQ yako ni ndogo hivyo. Unaleta ligi utafikiri ni mabishano ya simba na Yanga, yaani haufeel chochote kwa binadamu kupoteza maisha kwa 150K, hata kama uko sawa hiyo si jadi yetuWatoa huduma ya afya wapo sahihi.
Hivi kuna sehemu unaweza kwenda ukahudumiwa bure? .
Wahudumu wa afya ili wapate pesa ni lazima wewe uumwe utoe pesa utibiwe ndipo nao wapate pesa.
Heshimuni kazi za watu acheni kuwakandamiza.
uko sawa,tatizo ni pale kama huna pesa mda huo,wauguzi nao wanafuata taratibu za malipo zilivo maana sie tunaoenda kupata huduma Huwa tunagoma kulipa bills,all in all serikali iweke utaratibu special Kwa wajawazito wanateseka sana.Pesa yote hiyo mbona sijawahi ona ikitozwa popote?
Serikali mtendeeeni Haki huyu mtu Kwa kuwawajibisha waliosababisha haya mauaji japo maisha yake hayatarudi tena.
R.I.P
Nalo neno!!!!Mambo ni mengi sana. Kama hawakuwa na vifaa na vilihitajika kununuliwa wahudumu wangevitoa wapi?
Ndo nilikua nawaza nimepoteza fahamu hanijui sipati matibabu nikizinduka wanipe biliMkuu kuwa na hekima sasa, hapo kuna msiba na wameachwa watoto bila mama, mbona Emotional quotent EQ yako ni ndogo hivyo. Unaleta ligi utafikiri ni mabishano ya simba na Yanga, yaani haufeel chochote kwa binadamu kupoteza maisha kwa 150K, hata kama uko sawa hiyo si jadi yetu
Kaka wewe mgeni na hawa viumbe wanaoitwa politicians ?Dah wife tena, yeye ana bima ya afya. Nimemsikia DC akiongea macho makavu kabisa.
Miaka mingi tu najua mama mjamzito na mtoto under 5 matibabu ni bure. Kwa hiyo wahudumu wanatolewa kafara. Wanasiasa wa Afrika Mungu atowasameheKaka wewe mgeni na hawa viumbe wanaoitwa politicians ?
Hahhaahah politoshaniMiaka mingi tu najua mama mjamzito na mtoto under 5 matibabu ni bure. Kwa hiyo wahudumu wanatolewa kafara. Wanasiasa wa Afrika Mungu atowasamehe
Hawapaswi kuwa na utu, wanapaswa kufuata standard operating procedure ya hospitali, ambayo imepitishwa na government regulator, in this case Wizara ya Afya.Madaktar wawe na utu kazi kuokoa maisha
Umelewa weweMbona habari haieleweki? Ni 50,000 au 150,000?