Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.

Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi kufikia hatua ya kumfulia nguo zake, kupiga deki, kuchota maji, kupeleka watoto kliniki, kumfungulia maduka manne sambamba na kumpa gari lakini haikuwa dawa kwake hatimaye ameamua kumwacha.

Mwanaume huyo anaomba msaada asaidiwe.

mwanaume1.png

------
Mwanaume pichani anaomba msaada baada ya mateso makali aliyopitia kwenye ndoa yake ikiwemo kunyimwa unyumba kwa miaka saba mbali ya mapenzi makubwa aliyompatia mke wake ikiwemo kudeki nyumba, kumfulia nguo, kumfungulia maduka pamoja na kumnunulia gari.

Pia anadai yeye ndio aliyekuwa anawapeleka wanae klinik pindi walipokuwa wadogo.

Cha kushangaza mbali na mapenzi yote aliyomuonesha Anadai mkewe ameibuka mahakamani kuomba talaka na mahakama imeamua nyumba iuzwe wagawane mali bila kujali kwqmba nyumba hiyo ni mali ya watoto.

Bwana said anaomba msaada nyumba Ibaki isiuzwe kwakuwa watoto watakosa mahala pa kuishi.

Wakataa ndoa nawaona leo wanavyojishindia points

Ila jaman mwanaume wa kufanya yote hayo anakeraaa. Mwanaume usilegee sana kwa mwanamke... hadi kudeki??? Hapana. Wa hivyo anaboa.
 
View attachment 2524843

Kwakweli Huyu tunatakiwa kumsaidia
Nakadori Weka mipango sawa utuite
 
Back
Top Bottom