Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Kuna wanaume wanapitia mateso makal kwenye ndoa zao sema wakijitokeza kama hivi wanaonekana wajinga, ila angefanya tukio la kikatili kwa huyo mwanamke kila mmoja angemwona shetani .

Muda mwingine wanaume wanaokataa kuoa wako sahihi.
 
Kuta za nyumba kwandani zingekua na mdomo zingesema mengi kunamuda mwanadamu kwenye ndoa hutamani angezaliwa mbuzi dume beberu manyara huko au mkungugu isimani au ukuryani huko
 
Aibu hii kwenye ukoo wake na familia yake kwa ujumla...Halafu huyo mwanamke kwenye hali halisi tu kabla ya kumchukua vipimo ni tahira kabisa...Hivi alishikwa uchungu kweli wakati wa kujifungua huyo...

Wanawake mmekua na tamaa sana yani mnatapatapa kama mfamaji...Nguvu ya usawa ndani mnaitaka,Nguvu ya pesa ndani mnataka,Tamaa za mali zimewajaa tele,Roho za unyanyasaji zimejaa vifuani mwenu,Ukatili mnaongoza....

Wanawake sio viumbe sahihi hata kidogo kuwawekea dhamana kwenye suala lolote lile kwani kukubadilikia ni mdaa wowote ule..
 
Back
Top Bottom