Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We baba ungekuja kwangu unifungulie mibiashara yote hyoo na gari yani hata kuoga ungekuwa huogi mwenyewe.
Ningekubembeleza wewe hadi ushangaee
 
Mahusiano yanachangamoto zake na usipokuwa inara yanaweza kukuua au kukufanya uchukie jinsia iliyokukosea. Shida iliyopo
1. Binadamu ana hulka zake
2. Binadamu hana tabia nyoofu
3. Matumizi ya jinsia kujipatia utakacho
4. Kuvumilia ukiamini atabadilika
5. Kuvumilia ukiamini mmezaa pamoja, watoto wataishi kwa tabu mkiachana.
Kusema basi inatosha ni kuyaokoa maisha yako, ila ndiyo vile mtu akilewa na mapenzi haoni mpaka ajeruhiwe.
Ni kuendelea kuomba uliyenaye awe na uwezo wa kuthhibiti mihemko yake na kichaa chake kikiamka.
 
Kuweni makini mkitoka bara kuowa Tanga hasa kama una Mali kidogo, huyo sio ajili zake atakua katengenezwa.
Bro mali zangu zinamilikiwa na trusts pamoja na entities, sasa ikitokea mwanamke anadai kugawana mali basi tuganwane nguo ninazomiliki tu.
 
Mwanaume akiwa mpole sana anaboa
Anakuwa kama zezeta
Siku zote mwanamke anapenda mwanaume mhuni.
Ukiwa unampiga, kumtukana au kumfanyia kitu ambacho kitamuumiza atakupenda sana. Ila ukiwa mpole, unampenda na kumhudumia utanyanyasika sana.
 
Back
Top Bottom