Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.

Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi kufikia hatua ya kumfulia nguo zake, kupiga deki, kuchota maji, kupeleka watoto kliniki, kumfungulia maduka manne sambamba na kumpa gari lakini haikuwa dawa kwake hatimaye ameamua kumwacha.

Mwanaume huyo anaomba msaada asaidiwe.

View attachment 2524869

------
Mwanaume pichani anaomba msaada baada ya mateso makali aliyopitia kwenye ndoa yake ikiwemo kunyimwa unyumba kwa miaka saba mbali ya mapenzi makubwa aliyompatia mke wake ikiwemo kudeki nyumba, kumfulia nguo, kumfungulia maduka pamoja na kumnunulia gari.

Pia anadai yeye ndio aliyekuwa anawapeleka wanae klinik pindi walipokuwa wadogo.

Cha kushangaza mbali na mapenzi yote aliyomuonesha Anadai mkewe ameibuka mahakamani kuomba talaka na mahakama imeamua nyumba iuzwe wagawane mali bila kujali kwqmba nyumba hiyo ni mali ya watoto.

Bwana said anaomba msaada nyumba Ibaki isiuzwe kwakuwa watoto watakosa mahala pa kuishi.

Wakataa ndoa nawaona leo wanavyojishindia points

Ila jaman mwanaume wa kufanya yote hayo anakeraaa. Mwanaume usilegee sana kwa mwanamke... hadi kudeki??? Hapana. Wa hivyo anaboa.
Afadhari hata amepata nguvu za kuvunja ukimya..
 
Kuna wanaume wanapitia mateso makal kwenye ndoa zao sema wakijitokeza kama hivi wanaonekana wajinga, ila angefanya tukio la kikatili kwa huyo mwanamke kila mmoja angemwona shetani .

Muda mwingine wanaume wanaokataa kuoa wako sahihi.
Hivi wale 2000 kati ya 4400 hujawasikia bado au wewe unaishi nchi gani?

Wameshajieleza kwenye Chama Cha Kutetea Haki za Wanaume Tanzania (TAMRA) au haujui km hicho Chama kipo?

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
SHERIA YA NDOA NI MBOVU
KATAA CHETI CHA NDOA
 
Kama mimi vile,nimegundua mke wangu kwanini ananipenda,kumbe ile kuwa aggressive kidogo ndio silaha yangu ya kufanya nipendwe...
Mwanamke humpenda mwanaume mwenye maamuzi binafsi (personal decision) kabla ya kuoa, ukishamuoa anaanza kuutafuta udhaifu wako ulipo hata kwa kulazimisha umtie magumi (wenyewe wanaita ukatili wa kijinsia) ndio maana wengine hua wanadundwa wengine wanatiwa hadi vilema (kuna mmoja niliona amekatwa mkono wa kulia) sio kwamba hawapendwi Ila wanalazimisha kuujua udhaifu wa mwanaume kwa lazima ili autumie udhaifu huo km fimbo ya kumchapa mwanaume na kumuendesha vile anavyotaka yeye,

Mwanaume ukishamuonyesha mwanamke udhaifu wako ulipo hapo ndipo mawangalati (valangati) linapoanzia hakuna rangi utaacha kuziona

DELILAH ALIMNYOA UPARA SAMSON BAADA YA SAMSON KUMWAMBIA UDHAIFU WAKE NI KUNYOLEWA NYWELE AKIWA NA UPARA SIO LOLOTE SIO CHOCHOTE HANA NGUVU ZUZU ZOBA

DELILAH KACHUKUA MKASI KAZIFYEKA NYWELE ZOTE ZA SAMSON BWANA SAMSON AKIWA AMELALA BAADA YA KUNYWESHWA MVINYO ANAAMKA HANA NGUVU ANACHEKI NYWELE HANA AMEBAKI NA UPARA TU...

MWANAUME MWENYE NGUVU SAMSON KAANGUSHWA NA MWANAMKE MWENYE TAMAA YA PESA NA MALI DELILAH

Visa vyao vimeanzia mbali hawa viumbe alafu wana wadudu wao wanaotwa MAKUNGWI wana magroup yao social media zote wanachowafundisha huko WhatsApp na Insta daaah GOD FORBID GOD FORBID kuna mmoja alinitumia screenshot ya kinachojadiriwa huko nilichoka, acha nisiongee nikamaliza (uchicheme ukamala)

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
SHERIA YA NDOA NI MBOVU
KATAA CHETI CHA NDOA
 
Wanawake ni aina fulani ya mapepo, ukibahatika watoto, achana naye, isha juu kwa juu kama bado unajipenda na kuujali uhai wako!
Wanataka waolewe kwa nguvu zote sababu wanajua kuna tego lao la Sheria ya Ndoa limekenua meno km chambo, ukiingia tu umeisha ushakua kitoweo chao wanakuvutia mda akuvuruge achukue kila ulichokitafuta kwa kutumia mgongo wa mahakama

SHERIA YA NDOA NI MBOVU
KATAA NDOA
 
Kweli limbwata lipo na linafanya kazi....

Hivi huyo mwanaume na yeye hana ndugu wa kumsaidia kutengeneza limbwata la kumpa huyo mkewe ili asahau kama liolewa aondoke aende mbali asirudi tena kuulizia mambo ya nyumba...???!
SHERIA YA NDOA MBOVU ndio inayowapa kiburi mwanamke anajua akilianzisha akienda mahakamani kudai talaka mahakama inampa mali tu kiulaini bila shida yoyote hata km ikiwa mwenye makosa ni yeye, mahakama inafuata na kuangalia vifungu vya Sheria ya Ndoa ambayo kwa upande mwingine hio Sheria ni mbovu

KATAA NDOA
KATAA CHETI CHA NDOA
NDOA NI UTAPELI
 
Hivi wale 2000 kati ya 4400 hujawasikia bado au wewe unaishi nchi gani?

Wameshajieleza kwenye Chama Cha Kutetea Haki za Wanaume Tanzania (TAMRA) au haujui km hicho Chama kipo?

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
SHERIA YA NDOA NI MBOVU
KATAA CHETI CHA NDOA
Natambua uwepo wake ila hata hiko chama jamii kinaona ni wanaume waliokosa msimamo au wanaume legelege hakipew kipaumbele kama hizi taasisi zinazotetea haki za wanawake.

Na hata ukisoma comments utaelewa nachomaanisha jinsi huyo mwanaume alivyojitokeza anavyonangwa angekuwa mwanamke je?
 
Ndio ni kweli hio ni kutokana na kwamba jamii inaamini kwamba mwanaume hapaswi kuishi na mwanamke kidemokrasia bali inabidi aishi na mwanamke kidikteta zaidi (undava undava) kwa lugha nyepesi wanaita mkono wa chuma akizingua mtie mabanzi hivyo ndio wanavyohitaji na ukifanya hivyo wanakimbilia kwenye kitu kingine wanaita ukatili wa kijinsia,

Sasa wanaume wanaoishi na wake zao kidemokrasia wakiogopa kwamba wakifanya undava undava na wakiwaendesha wake zao kwa mkono wa chuma kidikteta jamii itawaangaliaje ndio wanaishia kuonekana lege lege kwa maana wanaamua kukumbatia demokrasia na kuacha kua madikteta

Wanasahau kwamba mwanamke amewekewa backup na security kubwa na mamlaka tangu anazaliwa, anakua mpaka anaolewa kote huko anatembea na backup na security ya kutosha mwimbo wa mapambia kila kukicha ni mtoto wa kike hivi mwanamke vile mtoto wa kike hivi n so on n so on, lakini mwanaume hio kitu hakuna mamlaka hazimtetei mwanaume hata kidogo zaidi ya kumkandamiza tu na ndio maana vyama km hivi ni vichache
 
Na ukatili hautakwisha Daima ndio maana wababa sasa wanazikimbia ndoa acha tuvune tulivyopanda .
 
Na ukatili hautakwisha Daima ndio maana wababa sasa wanazikimbia ndoa acha tuvune tulivyopanda .
Ukatili wa mwanaume sio sawa na ukatili wa mwanamke, kibaya wanawake wanafanya ukatili alafu wanajiliza waonekane hawana hatia na sababu mamlaka imeshawawekea backup na security basi inaendelea kuwatetea hata km ikitokea wao ndio wenye makosa, sana sana kwenye Ndoa wanaume wanafanyiwa ukatili sana na wanawake, anachojua mwanamke akimpeleka mwanaume mahakamani basi mwanaume atapokonywa kila kitu kuanzia watoto mpaka mali zake,
 
Back
Top Bottom