Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Mtu anapesa za kumfungulia biashara maduka manne, kumnunulia gari na bado anadeki nyumba! Hakua na uwezo wa kuweka mfanyakazi wa ndani?
 
Mtu anapesa za kumfungulia biashara maduka manne, kumnunulia gari na bado anadeki nyumba! Hakua na uwezo wa kuweka mfanyakazi wa ndani?
Ogopa limbwata
Kuna mzee mmoja mahali ilikuwa wadada wa kazi wapo lakini lazima ataosha vyombo tu na kuwawashia mkaa.
Au atamwambia hebu sogea nkusaidie haraka ...hapo anasonga ugali fasta atenge.
Au kufua nguo lazima afue tu wakat wadada wapo
 
kwani utelezi unaupata kwenye ndoa pekee
Utelezi wa ndoa ni nyama kwa nyama 100% huko kwa malaya unapata utelezi huku una vaa soksi mara mawazo ya ukimwi,gono,kufumaniwa kuombwa pesa kwa lazima.
Utelezi wa ndoa una raha yake aisee!!
 
Utelezi wa ndoa ni nyama kwa nyama 100% huko kwa malaya unapata utelezi huku una vaa soksi mara mawazo ya ukimwi,gono,kufumaniwa kuombwa pesa kwa lazima.
Utelezi wa ndoa una raha yake aisee!!
Hoja mfu kabisa. UMEOA ILI UFATE NYAMA KWA NYAMA ?
 
Hoja mfu kabisa. UMEOA ILI UFATE NYAMA KWA NYAMA ?
Ndio malengo makubwa ya kuoa nile nyama kwa nyama,nipate watoto na msaidizi wa mambo madogo madogo.
Lakini kubwa zaidi ni nyama kwa nyama kisha watoto na uzao kuongezeka.
 
Kataa ndoa ,ndoa ni utapeli tena wa waziwazi , utapel unaosimamiwa na mashirika na mkono wa serikalini hauwezi epuka zaidi ya kuepuka mtego wa ndoa , neno ndoa limetokana na neno ndoana yani unavuliwa kama samaki na huna ujanja.
 
Mshaambiwa, oeni ila msifunge ndoa, ona huyu kanyimwa unyumba kwa miaka 7 ila kavumilia ili asije kuporwa nyumba yake na Mahakama; mwanamke kaona jamaa haachii tu ngazi, kaenda kudai talaka na anataka apewe nyumba ili alete kibenten chake ndani, ndio mkome! Video chini inamaelezo zaidi.

====

View attachment 2527001

Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.

Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi kufikia hatua ya kumfulia nguo zake, kupiga deki, kuchota maji, kupeleka watoto kliniki, kumfungulia maduka manne sambamba na kumpa gari lakini haikuwa dawa kwake hatimaye ameamua kumwacha.

Mwanaume huyo anaomba msaada asaidiwe.

Clouds TV
Gunia3 za mkaa zinatosha "to put an end to the whole thing"
 
My opinion: wanawake ni makatili sana Hawanaga ata senti tano ya Huruma

Biblia imeandikwa tuishi nao kwa Akili Lakini ata akili zenyewe kuna sehemu zinagonga mwamba.

Solution ni kuto kuoa tu.
 
Back
Top Bottom