Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Tangia hiyo post ya yule mwamba kuhusu wadada wahumu ninakawasiwasi kidogo Lovelovie my dear unaonaje hii comment kwamba humu wanawake wamechoka
Siwez kukubali kirahis ccy.
Wanaume wengi wenye nyota ya kukataliwa na kukimbiwa na wanawake hua wanatabia ya kuwatamkia maneno machafu wanawake, Kwa hyo hilo lisitushtue kwamba wadada wenzetu hapa ndani ni wabovu sijui wachafu hapana, Wadada wa hapa ndani wamekua akili, wamestaharabika, wanajipenda na kujithamini japo wachache najua ni wachafu wa roho hadi mwili na ni wachache sana.
Antonnia Kalpana njoeni dada zangu mseme zaid.
 
Siwez kukubali kirahis ccy.
Wanaume wengi wenye nyota ya kukataliwa na kukimbiwa na wanawake hua wanatabia ya kutamka maneno machafu kwa wanawake, Kwa hyo hilo lisitishtue kwamba wadada wenzetu hapa ndani no wabovu sijui wachafu hapana, Wadada wa hapa ndani wamekua akili, wamestaharabika, wanajipenda na kujithamini japo wachache ambao hapa mim najua ni wachafu wa roho hadi mwili na ni wachache sana.
Antonnia Kalpana njoeni dada zangu mseme zaid.
Kuna nini my dear? Miss you upoo?
 
Kabisaa tena totoz ya tanga aisee akiwa mdigo hapo unakojowa hadi maini.
My mdigo i miss u jamani kokote pale ulipo wee ndio kiboko yangu. Nitume ata katext tuu najua unasomaga come t zangu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Mhhh unapenda mbususu kuliko maji
 
Kutoka wanaume wa dar! Hadi wanaume wa pwani[emoji23]
 
Siwez kukubali kirahis ccy.
Wanaume wengi wenye nyota ya kukataliwa na kukimbiwa na wanawake hua wanatabia ya kuwatamkia maneno machafu wanawake, Kwa hyo hilo lisitushtue kwamba wadada wenzetu hapa ndani ni wabovu sijui wachafu hapana, Wadada wa hapa ndani wamekua akili, wamestaharabika, wanajipenda na kujithamini japo wachache najua ni wachafu wa roho hadi mwili na ni wachache sana.
Antonnia Kalpana njoeni dada zangu mseme zaid.
Nimekuja sis ngoja nitulie nisome vizuri!!
 
Back
Top Bottom