Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Ukiwa wewe kila siku ni mtu wa kuchomekea tu, na tai shingoni; jiandae kusaidiwa
Ninaweza nisivae tai shingoni na kuchomekea, nikavaa nguo za kijanja katika namna ambayo sio ya kihuni.

Kuvaa mtepesho kunazuiaje kusaidiwa?
 
Rasmi nawaunga mkono majanjaro wanaokataa ndoa.
Ndugu yangu mmoja kibosile Amref ilibidi amuachie mwanamke mjengo wake wa nguvu Sinza wenye thamani ya milion 200 akaenda kupanga aliondoka na nguo na nyaraka zake tu.
Yule mwanamke atake nini asipewe mhehe yule alikua na gubu sijapata kuona. Mwanamke hataki chochote bali kuachana na kupatiwa mali.

Shenzi sana kama mtu waingia kwenye ndoa unaingia na mahesabu makali sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We baba ungekuja kwangu unifungulie mibiashara yote hyoo na gari yani hata kuoga ungekuwa huogi mwenyewe.
Ningekubembeleza wewe hadi ushangaee
Tunawaambia kila siku haya mambo yana utapeli ona sasa !!!
 
Huyo mzee anazinguwa, dalili zote tangu mwanzo kwanini hakuchukuwa maamuzi magumu, labda mkewe alikuwa kamfunga kishirikina, lakini Mwanaume mwenye kujuwa jukumu lake humpigishi deki miaka saba.
 
Changamoto za wanaume hazinaga wanaharakati jamaa apambane mwenyewe kiume tu,Mungu atamsaidia.

Sasa pata picha hii issues ingekuwa ina muhusu mwanamke, mda kama huu tayari NGO kama mia tayari washamwekea wanasheria, bado kuna wanasiasa wanajipatia umarufu hapo hapo.
Uwanaume ni mateso kwakweli ndio maana wengine wameleft group.
 
Shoga huyu. Hata macho yake yanamsuta. Mwanaume utazungumzaje bila hata ya nukta? Hawa wanaume wa pwani utawajua tu. Tunajua one side of the story. Mke wake atakuwa anajua siri zake hadi kumuita hanithi.
 
Back
Top Bottom