Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Lini sasa nije nianze 😀🤣🤣🤣🤣🤣alaf nlitaka kuandika hvi hvi kwamba uje unidekie na kunifulia
Ukifanya vizuri bakupandisha cheo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini sasa nije nianze 😀🤣🤣🤣🤣🤣alaf nlitaka kuandika hvi hvi kwamba uje unidekie na kunifulia
Ukifanya vizuri bakupandisha cheo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Usijal boss ntakuwa mtiifu kama matias wa mwijakuUsjal utaitwa uanze kaz mda wowote
Ila ule ukali uuache mlangonii
Me nimewaambiaWale wa kataa ndoa hawajakutana na mke wa said,unatiwa kwenye chupa mwenyewe unatangaza ndoa na deki unapiga🤣🤣🤣🤣🤣,
Tanga Mungu anawaona,,
Aise ila kugua chupi za mwanamke raha sana yaani kwanza unazinusa nusa wee upate stimu ya kwenda kumgegeda baadae.Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.
Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi kufikia hatua ya kumfulia nguo zake, kupiga deki, kuchota maji, kupeleka watoto kliniki, kumfungulia maduka manne sambamba na kumpa gari lakini haikuwa dawa kwake hatimaye ameamua kumwacha.
Mwanaume huyo anaomba msaada asaidiwe.
View attachment 2524869
------
Mwanaume pichani anaomba msaada baada ya mateso makali aliyopitia kwenye ndoa yake ikiwemo kunyimwa unyumba kwa miaka saba mbali ya mapenzi makubwa aliyompatia mke wake ikiwemo kudeki nyumba, kumfulia nguo, kumfungulia maduka pamoja na kumnunulia gari.
Pia anadai yeye ndio aliyekuwa anawapeleka wanae klinik pindi walipokuwa wadogo.
Cha kushangaza mbali na mapenzi yote aliyomuonesha Anadai mkewe ameibuka mahakamani kuomba talaka na mahakama imeamua nyumba iuzwe wagawane mali bila kujali kwqmba nyumba hiyo ni mali ya watoto.
Bwana said anaomba msaada nyumba Ibaki isiuzwe kwakuwa watoto watakosa mahala pa kuishi.
Wakataa ndoa nawaona leo wanavyojishindia points
Ila jaman mwanaume wa kufanya yote hayo anakeraaa. Mwanaume usilegee sana kwa mwanamke... hadi kudeki??? Hapana. Wa hivyo anaboa.
Kumbe ndio maana haka kadem kanivhukulia poa. Itabidi nianze kukazabua makofi wakati nakagegeda labda kataniheshimuMwanaume awe na sauti ya kusema please stop it
Sasa mwanaume wa kila kitu sawa.. mhh anapoa kama uji wa mtoto
Kabisaa tena totoz ya tanga aisee akiwa mdigo hapo unakojowa hadi maini.🤣🤣🤣🤣
Unapewa utamu wenye utamu hadi ukimuwaza mtu inadinda yenyeweee mamamamamae
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kabisaa tena totoz ya tanga aisee akiwa mdigo hapo unakojowa hadi maini.
My mdigo i miss u jamani kokote pale ulipo wee ndio kiboko yangu. Nitume ata katext tuu najua unasomaga come t zangu😭😭😭😭
Tupe ukweli sasa; sio kila siku kuchomekea kama unaenda kupanga foleni ya kupokea mshaharaMmmh huu uongo
Mtoto wa uncle na uncle mwenyewe wapo kwenye majuto....sijui watanga bila ndumba haiwezekani?Kuweni makini mkitoka bara kuowa Tanga hasa kama una Mali kidogo, huyo sio ajili zake atakua katengenezwa.
#ukinitongoza tu, lazima unioeKATAA NDOA, NDOA NI UTAHIRA
KATAA NDOA